Treni za mjini ndani ya addis ababa ethiopia

Treni za mjini ndani ya addis ababa ethiopia

Waethiopia wazuri aisee......lini wanaingia kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki!
Totoz ndan ya mji wa hawassa in habesha land[emoji2]
1473615952936.jpg
 
Wao wametangulia nasi tuponyuma,
Mungu ilinde Tanzania
 
Iyo Ethiopia Apo .dah Tz ni mwendo wa kinyonga
 
Wametuacha parefu sana hata sisi labda kwa madeni ambayo tunadaiwa yangetumika vizuri labda nasisi tungekuwa hivyo.
 
Pamoja na sifa zote hizo lakini kule tu kuona Mr woooo,wouu,wuuu, dog amejipumzisha kwenye huo mnaoita uzungu, nimewapunguzia alama hao Wahabeshi.
 
aisee wakileta hzo infrastructures utakuta vituo vyote wamejaa wamachinga, yani vurugu mtindo mmoja!
 
Back
Top Bottom