Treni za mjini ndani ya addis ababa ethiopia

Treni za mjini ndani ya addis ababa ethiopia

Wee nawe! nyumba ya kupanga halagu unataka kufuga na mbwa? yaani umepanga kachumba kamoja au chumba na sebule halafu unataka ufuge na mbwa?hapana jenga yako ndo ufuge ndio itakuwa poa,halafu mimi ni mwislamu nina mbwa pia, sio kweli kwamba ukiwa mwislamu hurusiwi kufuga dog.

mkuu ndo hivyo bado saijafanikiwa kujenga, ila nawapenda mbwa sana....ishu ya mbwa na uislam niliona siku wanamsema Wema kwamba muislam safi hawezi fuga mbwa
 
TE="GhostRyder1, post: 17584440, member: 381250"]Hamia Ethiopia mkuu.[/QUOTE]
Kuwa na uvumilivu mkuu, ahamie huko kwani yeye ndiye aliyesababisha kuwa na treni ya Mwakyembe baada ya 50 yrs ya Uhuru?
 
mkuu ndo hivyo bado saijafanikiwa kujenga, ila nawapenda mbwa sana....ishu ya mbwa na uislam niliona siku wanamsema Wema kwamba muislam safi hawezi fuga mbwa
Ah! unajua bwana kuna watu wengine wanapenda sana kuchukulia mambo yasiyokuwa na maana sana kwenye imani hizi na kuyafanya kama vile ndio dini yenyewe,mimi nilipoona kuna umuhimu wa kuwa na mbwa nilifuga na haikuwa tatizo kwani mbwa anakaa bandani mchana na usiku namfungulia, chakula chake nampelekea humo humo na kila mwezi nampeleka kuogeshwa na sindano.
 
Eheeeeeeeeeeeeee..........................Mungu Tanzania tumekukosea nini sisi Dah!
 
Hivi washaanza kutuuzia umeme ? Mana nilimsikia Waziri wetu wa Nishati Prof Muhongo akiongelea hilo suala la Tanzania kununua umeme kwa bei ndogo toka Ethiopia
 
mkuu ndo hivyo bado saijafanikiwa kujenga, ila nawapenda mbwa sana....ishu ya mbwa na uislam niliona siku wanamsema Wema kwamba muislam safi hawezi fuga mbwa
Sisi waislam wa Tanzania hatufugi mbwa kwa tunaamini ni haramu

Lakini huwezi amini Misr kuna wengi sana , tena wanafugwa ndani kabisaa na wanashinda sitting room , wanatembea nao kwenye magari bila hofu yoyote ile
 
Back
Top Bottom