tafakari tunduizi, hilo neno nimelipenda linaweza kuwa linamaanisha nin?katika yote kumteua mama mngirwa naona umewaza mbali sana yule mama ana uwezo Mkubwa na ni mtulivu kujenga hoja
pia ni mtulivu ana uwezo Wa kufanya tafakari tunduizi
His excellent Mhe rais tunaomba umuone huyu mama
1. First and Foremost anza na huyu kijana mpendwa wako, unayependezwa naye, ambaye japo sii Waziri na sii mbunge bali alikuwa ni zaidi ya Makamo wa Rais, ni zaidi ya Waziri Mkuu, ni zaidi ya Spika, ni zaidi ya Jaji Mkuu, ni zaidi ya IGP. Kijana shupavu, shujaa, hodari, mchapakazi Paul Makonda, he was an asset like a jewel on the sea, a very big asset na ni kweli amefanya makubwa katika kipindi kifupi, but its very unfortunately he has now turned into the biggest liability you have!, deal with it first, the sooner the better!.
Paskali
Mkuu mbona Magufuli amemaliza kuhutubia muda mfupi uliopita akiwa mkuranga lakini hilo hajagusiaStay tuned Jf
Soon linatangazwa baraza jipya na inasemekana Ridhiwan kapewa wizara
Aijafahamika ni wizara gani hasa
Hongera Ridhiwan unastahili kwa hili
Wanabodi,
Trend Setting ni kutengeneza mwelekeo au ku shape jambo linalokuja kutokea. Trend Setters ni wale watu ambao wakifanya jambo fulani, sehemu kubwa ya jamii hulifuata.
JF ni trend setter, baadhi ya mapendekezo yanayotolewa humu JF, serikali yetu sikivu huyatekeleza.
Baada ya zoezi la Uchaguzi Mkuu kukamilika, JF ilitengeneza trend ya Baraza jipya la Mawaziri na mimi naamini baadhi ya wateule kama Joyce Ndalichako was made from JF.Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano
Kufuatia teuzi za baadhi ya wabunge wapya kwenye Bunge la Muungano, Trend reading zinaelekeza kufanyika kwa mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri hivi karibuni huku sura mpya kama
Prof. Palamagamba Kabudi, Anne Kilango Malecela na Salma Kikwete wakitarajiwa kuwemo.
Japo kwa mujibu wa katiba yetu kazi ya kuteua mawaziri ni kazi ya rais wa JMT kwa mashauriano na Makamo wa Rais na Waziri Mkuu, viongozi wetu hawa nao ni binaadamu na wanaweza kukosea katika uteuzi au kuna watu wazuri tuu lakini jicho la rais haliwezi kuwaona ila jicho la JF ni kubwa.
Ni ukweli usiofichika kuwa kwenye Baraza hili kuna mawaziri ambao kweli ni ma performers wengine beyond expectations, kuna mawaziri non performers yaani wapo wapo tuu ili mradi wapo na kuna mawaziri kiukweli kabisa wame flop, hawa ni mawaziri mizigo, they should go.
Pia kwenye wabunge kuna wabunge ambao ni great potentials kumsaidia rais kuliko kuendelea kubeba mizigo hadi 2020.
Hivyo wana JF, hakuna ubaya kumshauri rais wetu, ambaye ni mtumishi wetu, sisi ndio waajiri wake kupitia kura zetu na ndio tunaomlipa mshahara wake kupitia kodi zetu, hivyo atazingatia maoni na ushauri wetu kwa jinsi ile ile anavyozihitaji kura zetu.
Nikianzia na maoni yangu.
1. First and Foremost anza na huyu kijana mpendwa wako, unayependezwa naye, ambaye japo sii Waziri na sii mbunge bali alikuwa ni zaidi ya Makamo wa Rais, ni zaidi ya Waziri Mkuu, ni zaidi ya Spika, ni zaidi ya Jaji Mkuu, ni zaidi ya IGP. Kijana shupavu, shujaa, hodari, mchapakazi Paul Makonda, he was an asset like a jewel on the sea, a very big asset na ni kweli amefanya makubwa katika kipindi kifupi, but its very unfortunately he has now turned into the biggest liability you have!, deal with it first, the sooner the better!.
2. Asante kututeulia wabunge wanawake 4. Bado mmoja, huyu mmoja. Kwa uteuzi wako mmoja wa mwisho uliobakia kwa mujibu wa katiba, ambaye lazima uwe wa mwanamke, tunakuomba ututeulie mwanamke kutokea upinzani, preferably Mama Ana Mngirwa. Mkapa aliteua kutoka upinzani, Kikwete aliteua kutoka upinzani, why not you?. Japo hakuna sheria, kanuni wala taratibu inayokulazimisha umteue nani, lakini unapokuwa ni rais wa wote kuna vitu lazima uvifanye kuwaonyesha watu kuwa wewe ni rais wa wote, na huo uwote wako uonekane kwa wote, kama ilivyo kwenye kutoa haki, "justice must not be only done,but it must be seen to be done" kuwa haki sio lazima tuu itendeke, bali pia lazima ionekane kutendeka, hata kama huupendi vipi upinzani, hata kama huwapendi vipi wapinzani, ni watu ambao wapo kisheria kwa mujibu wa katiba japo kazi yao kubwa ni kukusoa wewe na serikali yako lakini amini usiamini ni watu wa muhimu sana kwako, kwa serikali yako na kwa taifa kwa ujumla tena wanakusaidia sana tuu hata kama hujui.
3.Kwa vile umeisha teua wanawake wengine wawili, katika mabadiliko madogo utakayo yafanya this time naamini yataakisi gender mainstreaming kwenye mabadiliko ya baraza lako. Pale mwanzo umetutelia mawaziri wanawake wanne tuu na hatukulaumu kwa hilo kwa sababu waelewa tunaelewa sababu, haupaswi kuziendeleza hizo sababu, kama rais wa nchi kuna vitu lazima ubadilike.
Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!
Sasa wana JF wenzangu, naomba tutoe maoni yetu nani abaki na nani atoke. Nani ameflop na hamsaidii tena rais. Pia kuangazia potentials zilizopo kama tulivyo muangazia Pro. Ndalichako na hatimaye akawepo.
Naomba kuwasilisha.
Paskali
Kiumbe wewe OKW BOBAN SUNZU, kila thread inabeba diferent theme and main ideas, ukinionyesha the duplicity wala sitamsubiri mode kuziunganisha nitamuomba mimi azi merge.Invisible hamuoni duplicates za threads za huyu kiumbe
Tafakari ya kina au mapana. Pia neno hili huwa namsikia sana mchambuzi wa habari bwa Dotto Bulendu katika Star TV.tafakari tunduizi, hilo neno nimelipenda linaweza kuwa linamaanisha nin?
Umekurupuka, una jaziba, hujamuelewa mleta hojaMara ushauri wa Baraza la Mawaziri, Mara ushauri wa Wabunge viti maalum, mara sifa kwa Bashite...
Thread yako hii unataka nini haswa?
Kama ni uwaziri wacha tukupendekeze wewe na Bashite.
Na kwa kuwa hakuna utawala wa sheria, awamu hii, muwe Mawaziri hata kama si wabunge maana hapa ni Hovyo Tu.
Wanabodi,
Trend Setting ni kutengeneza mwelekeo au ku shape jambo linalokuja kutokea. Trend Setters ni wale watu ambao wakifanya jambo fulani, sehemu kubwa ya jamii hulifuata.
JF ni trend setter, baadhi ya mapendekezo yanayotolewa humu JF, serikali yetu sikivu huyatekeleza.
Baada ya zoezi la Uchaguzi Mkuu kukamilika, JF ilitengeneza trend ya Baraza jipya la Mawaziri na mimi naamini baadhi ya wateule kama Joyce Ndalichako was made from JF.Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano
Kufuatia teuzi za baadhi ya wabunge wapya kwenye Bunge la Muungano, Trend reading zinaelekeza kufanyika kwa mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri hivi karibuni huku sura mpya kama
Prof. Palamagamba Kabudi, Anne Kilango Malecela na Salma Kikwete wakitarajiwa kuwemo.
Japo kwa mujibu wa katiba yetu kazi ya kuteua mawaziri ni kazi ya rais wa JMT kwa mashauriano na Makamo wa Rais na Waziri Mkuu, viongozi wetu hawa nao ni binaadamu na wanaweza kukosea katika uteuzi au kuna watu wazuri tuu lakini jicho la rais haliwezi kuwaona ila jicho la JF ni kubwa.
Ni ukweli usiofichika kuwa kwenye Baraza hili kuna mawaziri ambao kweli ni ma performers wengine beyond expectations, kuna mawaziri non performers yaani wapo wapo tuu ili mradi wapo na kuna mawaziri kiukweli kabisa wame flop, hawa ni mawaziri mizigo, they should go.
Pia kwenye wabunge kuna wabunge ambao ni great potentials kumsaidia rais kuliko kuendelea kubeba mizigo hadi 2020.
Hivyo wana JF, hakuna ubaya kumshauri rais wetu, ambaye ni mtumishi wetu, sisi ndio waajiri wake kupitia kura zetu na ndio tunaomlipa mshahara wake kupitia kodi zetu, hivyo atazingatia maoni na ushauri wetu kwa jinsi ile ile anavyozihitaji kura zetu.
Nikianzia na maoni yangu.
1. First and Foremost anza na huyu kijana mpendwa wako, unayependezwa naye, ambaye japo sii Waziri na sii mbunge bali alikuwa ni zaidi ya Makamo wa Rais, ni zaidi ya Waziri Mkuu, ni zaidi ya Spika, ni zaidi ya Jaji Mkuu, ni zaidi ya IGP. Kijana shupavu, shujaa, hodari, mchapakazi Paul Makonda, he was an asset like a jewel on the sea, a very big asset na ni kweli amefanya makubwa katika kipindi kifupi, but its very unfortunately he has now turned into the biggest liability you have!, deal with it first, the sooner the better!.
2. Asante kututeulia wabunge wanawake 4. Bado mmoja, huyu mmoja. Kwa uteuzi wako mmoja wa mwisho uliobakia kwa mujibu wa katiba, ambaye lazima uwe wa mwanamke, tunakuomba ututeulie mwanamke kutokea upinzani, preferably Mama Ana Mngirwa. Mkapa aliteua kutoka upinzani, Kikwete aliteua kutoka upinzani, why not you?. Japo hakuna sheria, kanuni wala taratibu inayokulazimisha umteue nani, lakini unapokuwa ni rais wa wote kuna vitu lazima uvifanye kuwaonyesha watu kuwa wewe ni rais wa wote, na huo uwote wako uonekane kwa wote, kama ilivyo kwenye kutoa haki, "justice must not be only done,but it must be seen to be done" kuwa haki sio lazima tuu itendeke, bali pia lazima ionekane kutendeka, hata kama huupendi vipi upinzani, hata kama huwapendi vipi wapinzani, ni watu ambao wapo kisheria kwa mujibu wa katiba japo kazi yao kubwa ni kukusoa wewe na serikali yako lakini amini usiamini ni watu wa muhimu sana kwako, kwa serikali yako na kwa taifa kwa ujumla tena wanakusaidia sana tuu hata kama hujui.
3.Kwa vile umeisha teua wanawake wengine wawili, katika mabadiliko madogo utakayo yafanya this time naamini yataakisi gender mainstreaming kwenye mabadiliko ya baraza lako. Pale mwanzo umetutelia mawaziri wanawake wanne tuu na hatukulaumu kwa hilo kwa sababu waelewa tunaelewa sababu, haupaswi kuziendeleza hizo sababu, kama rais wa nchi kuna vitu lazima ubadilike.
Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!
Sasa wana JF wenzangu, naomba tutoe maoni yetu nani abaki na nani atoke. Nani ameflop na hamsaidii tena rais. Pia kuangazia potentials zilizopo kama tulivyo muangazia Pro. Ndalichako na hatimaye akawepo.
Naomba kuwasilisha.
Paskali
Ukiwa na ufahamu mdogo lazima usimuelewe huyu jamaa, anatumia mafumbo na sarcasm ya hali ya juu ndio maana umeshindwa kumuelewa...Nimegundua ni kazi ngumu sana kumuelewa paskali.... Na ni mnafiki wa kiwango cha Lami. Hivi si Jana tu umekuja na bandiko lako unamsifia bashite? tukakubana ukala kona. Leo unamuita liability tukueleweje wewe?? Au ulipomsifia hakukupa bahasha ndo maana leo unamkandia?
Paskali usitupotezee focus asee, nilishakuambia nakuheshimu.
Yule alikuwa Pasco wa JF, this is the real one verified member.Unaandika mada kibao mpaka hauelewiki lengo lako nini aisee! we misses the old pasco not this paskali
Yaani wewe unazo akili nyingi kuliko amiri jeshi mkuu?. Asijue kwamba hii ni kejeli na hii ni kauli yenye uzito!.Pascali nikushauri. Unapotoa ushauri kwa ngosha epuka lugha ya mafumbo maana ni ukweli yeye haelewi.
Mfano, hapo ulipo Sema hizo sifa za kijana wake kuwa ni zaidi ya uliowataja yeye hawezi kujua kuwa unamkebehi bali atadhani ni sofa za ukweli na mambo yataharibika kwa kudhani Paskali (home boy) kanishauri hivi kumbe wewe ulimaanisha vile. Angalia Paskali (homeboy wa mzee) usije tuharibia nchi kwa mafumbo yako