TRC: Picha zinazosambaa ni za Mabehewa ya safari ndefu, mengine yatafika Juni 2023

Kumbe treni ina tairi na rim ahsant kwa taarifa
 

Ya safari fupi ya naenda wapi?
 
Kadogosa anabugi,, watu wanataka yale ya high speed train,, yale yako kama ndege
,bora asiwape matumaini, halafu yasije,, high speed train huwa ina operate kwenye njia yake special,, sidhani hiyo reli itamudu kupitishq high speed train
Wanavojichanganya unaoata feeling kuwa mwenye project yake alishatangulia mbele ya haki wamekuja wapigaji.

Unajenga reli ya standard gauge unaleta vichwa na behewa za "ngongongo"
 
Bora mi nilishaamka! Huwa natumia logic kwa kila stori! Sidanganyiki!
 

Kabisa kwa mfano Gerson Msigwa kautangazia umma kwamba Ruvu imejaa pomoni kutokana na mvua kunyesha sana morogoro na kweli wakafungulia maji ya kisima ya kigamboni kuanzia jumamosi ili watu waamini kwamba ni kweli tatizo lilikuwa mvua.......Ruvu bado empty na mvua morogoro ni ya kawaida sana tena sehemu chache tu.

Ila usipokuwa makini utawaamini na progaganda zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…