Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao.
KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!.
Katika Wakati ambao Thaman ya Rasimali zetu itakua juuu zaidi, ndio wakati ambao Serikali itakua Haina chochote juu ya Rasilimali hizo Kwa sababu tu Wanamtandao watakua wamejimilikisha Kila kitu.
NUliwahi andika hapa, kua JWTZ kikatiba wanayo haki ya kulinda Rasimali za Nchi, ukiachilia mbali wao kua Wazalendo namba Moja wa Nchi.
Kwa ambayo kayasema Mh Polepole Jana, Kwa Mtanzania wa kawaida, alitegemea Kitu kifanyike !!.
Nchi imeuzwa hii!