Transit VISA through Italy.

Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
83
Habari za leo wandugu

Ningependa kufahamu kama kuna mwanajamvi amewahi kupitia Italy bila transit VISA.Nataka ninunue tiketi online lakini sina uhakika iwapo nitahitaji nitahitaji hii VISA au la.Pia naomba kujua kama mtu amewahi kukata ticket hapa www.kiwi.com
 
Transit VISA kwenda Tanzania mkuu.Hii KAYAK inakuwa inanidirect kwenda kiwi muda wote ndio maana nikasema ni kiwi.Kwa hiyo hii kayak haijawahi kukuzingua bwana Manizzle?
 
Transit haina haja ya visa as hautoki nje ya airport...ila nakushauri tumia KAYAK ama CLEARTRIP.COM wako sawa sawa
 
Nimewasiliana na ubalozi wao wanasema ni lazima VISA na ni euro 60 hata kama hutoki airport.
 
Back
Top Bottom