Transfer vacancy request at ESS Utumishi

Kulingana na waraka wa katibu mkuu km mkuu wa taasisi hatapitisha kwa wakati mpka imeenda next stage itahesabika kwamba Ombi hilo amelilizia. Kwahy hapo kuwa na amani

Mkuu samahani ila si uandike vizuri tu?
 
Mkuu hongera aisee tangu lini
Hivi sijaeleweka Nini..! Mimi sijapata kibali mkuu but nimejaribu kuweka sawa kuwa ombi likikubaliwa inaandikwa GRANTED na sio Approved, nikaongeza kuwa ushuhuda huu ni kutoka na watu waliopata vibali japo nao walisubiri sana kama tunavyosubiri sisi hapa. Ina maana na Mimi ni miongoni mwa wale wanaosubiria vibali
Mwinyimadi
 
Good 👍
 
miezi 7 au mwaka inaweza kutokea ila kwa UTUMISHI,mh hapo labda nafasi imesha jazwa
 
Back
Top Bottom