jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,146
- 42,769
Kusema ukweli huu mfumo watumishi wengi hawauwelewi,je unaanzia vacancy request au normal transfer.
Kama ni haki ya uhamisho mbona kuna vikwazo hata kabla ya ombi kufika wa mwenye malaka ya mwisho ya kutoa uhamisho ambaye ni katibu mkuu.
Je kuna nia njema katika hili?
Kama ni haki ya uhamisho mbona kuna vikwazo hata kabla ya ombi kufika wa mwenye malaka ya mwisho ya kutoa uhamisho ambaye ni katibu mkuu.
Je kuna nia njema katika hili?