Transfer vacancy request at ESS Utumishi

Transfer vacancy request at ESS Utumishi

Maswali haya cha ajabu ni kwamba hakunaga anayejibu yaani kila mtu hajui

Huu mfumo jau sana maafisa wahusika nao ukiwauliza kitu wanatupiana mpira tu ni kama nao hawaelewi kitu au kama wanaelewa basi hawana msaada maana kila kitu tunafundishana wenyewe tu
Hawa watu hakuna kitu wanaelewa na ni wakali balaa
 
Mfumo ungeruhusu pia maombi ya wale wenye sababu ambazo haziwezi kusubiri miaka mitatu.
Mfano Ugonjwa.
 
Nyie hamkutani na jini vacancy not budgeted?

Mana kila taasisi ni hivyo
Umeomba Taasisi gani mkuu, nasikia kuna Taasisi zilifunguliwa mfumo mwanzoni wa July hii.. zile nafasi wamezishambulia watu kupitia Vacancy request na sasa zimeisha hata ukiomba vacancy unaambiwa Vacancy already filled au Vacancy not budgeted
 
Andika barua kuulizia nafasi unapotaka kwenda wakikubali ambatanisha barua ya kukubaliwa nafasi kwenye transfer request case closed.
Hii Iko sawa, ila hata kama ukipewa barua hiyo ya nafasi kama nafasi hiyo hajawekwa kwenye mfumo itakuletea tu Vacancy not budgeted.
 
Vacancy request, ni request ya kuulizia nafasi kama ipo unapotaka kwenda, na siyo request ya kuomba kuhama ili kuhamia.
Unaufahamu mfumo?
mimi ni Mkufunzi wa Mfumo na naujua mfumo na najua hata vacancy Request ni nini!
labda nikukumbushe taratibu za kuandika vacancy request kwa njai ya barua ya kawaida kwa sisi tuliokuwa serikalini kwa muda mrefu unazikumbuka?

huwezi kuandika barua nje ya Mkoa au nje ya taasisi au Nje ya wilaya nyingine bila kutoa taarifa au kupitia kwa wasimamizi wa wilaya yako?
umewahi kuomba vacancy request ya kuhama bila kupita kwa Supervisor wako au HOD wako?

au Upo kwa ajili ya kubishana au unataka nikupe ushahidi??

ni Vizuri kama Hujui kitu uulize usiandike mihemko yako
 
Dr naomba maelekezo hapa, kutokana na mfumo ku accept automatically baada ya muda kupita, sasa kama institution unayotaka kwenda ime accept automatically, na comment inaonesha kuwa accepted automatically bila approval ya hiyo institution...
Sasa swali langu, kwa kuwa mfumo baada ya hapo unaonesha kuendelea na transfer., na request ikifika mpaka utumishi...uwezekano wa kupata kibali upo?? Au ni ngumu kwa sababu ya Ile situation ya kuwa accepted automatically kwenye taasis unayotaka kwenda?
 
Weka kwanza screenshot tuielewe vizuri then tukushauri
 
Baa
Weka kwanza screenshot tuielewe vizuri then tukushauri
Baada ya kuomba vacancy kwenye institution ilikuja hivyo... then ukaanzishwa mchakato wa transfer, na ipo utumishi kwa sasa
 
Attachments

  • Screenshot_20260729_115757_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260729_115757_WhatsApp.jpg
    105.5 KB · Views: 5
Baa

Baada ya kuomba vacancy kwenye institution ilikuja hivyo... then ukaanzishwa mchakato wa transfer, na ipo utumishi kwa sasa
Kulingana na waraka wa katibu mkuu km mkuu wa taasisi hatapitisha kwa wakati mpka imeenda next stage itahesabika kwamba Ombi hilo amelilizia. Kwahy hapo kuwa na amani
 
Ok.. baada ya kuangalia maelezo ya hiyo comment mkuu, Hiyo sio shida yako kabisa kwani Taasisi zote walikwishapewa waraka au angalizo kuhusu maombi ya Watumishi kuwa zikifika zile siku zilizowekwa itahamia hatua nyingine Automatically lengo lao kuu ni kupunguza muda wa mchakato wa maombi ili ombi lifike kwao UTUMISHI ambao ndio watoa idhini/vibali vya uhamisho.

Kwa mantiki hiyo hili ombi lako halina shida kwani ombi lishakubali na taasisi auto na ndio maana ukawekewa link ya kuendelea na mchakato. Hii Unatoboa kabisa, hapo ni kuvuta subira tu maana wanasema maombi ni mengi na huwa wanachakata kulingana na muda yalivyoingia UTUMISHI yaan First in - First Out
Baa

Baada ya kuomba vacancy kwenye institution ilikuja hivyo... then ukaanzishwa mchakato wa transfer, na ipo utumishi kwa sasa
 
Back
Top Bottom