Transfer vacancy request at ESS Utumishi

Transfer vacancy request at ESS Utumishi

Ok.. baada ya kuangalia maelezo ya hiyo comment mkuu, Hiyo sio shida yako kabisa kwani Taasisi zote walikwishapewa waraka au angalizo kuhusu maombi ya Watumishi kuwa zikifika zile siku zilizowekwa itahamia hatua nyingine Automatically lengo lao kuu ni kupunguza muda wa mchakato wa maombi ili ombi lifike kwao UTUMISHI ambao ndio watoa idhini/vibali vya uhamisho.

Kwa mantiki hiyo hili ombi lako halina shida kwani ombi lishakubali na taasisi auto na ndio maana ukawekewa link ya kuendelea na mchakato. Hii Unatoboa kabisa, hapo ni kuvuta subira tu maana wanasema maombi ni mengi na huwa wanachakata kulingana na muda yalivyoingia UTUMISHI yaan First in - First Out
Ahsante mkuu, umenitia moyo sana.
 
Umeomba Taasisi gani mkuu, nasikia kuna Taasisi zilifunguliwa mfumo mwanzoni wa July hii.. zile nafasi wamezishambulia watu kupitia Vacancy request na sasa zimeisha hata ukiomba vacancy unaambiwa Vacancy already filled au Vacancy not budgeted
Mkuu hizo ndio zilizotenga nafasi ya kuhami kwa mwaka huu,kwengine kote mfumo wameufunga yani ni yafran.
 
Imeenda kwa destination organization tayari,,, hivi Sasa inaenda yenyewe kwahy inaandika Nini kwenye huo mfumo? Mana mdimamizi wa KAZI hajatia neno ko imeenda mbele yenyewe? Ebu nipe experience kaka
Dr naomba maelekezo hapa, kutokana na mfumo ku accept automatically baada ya muda kupita, sasa kama institution unayotaka kwenda ime accept automatically, na comment inaonesha kuwa accepted automatically bila approval ya hiyo institution...
Sasa swali langu, kwa kuwa mfumo baada ya hapo unaonesha kuendelea na transfer., na request ikifika mpaka utumishi...uwezekano wa kupata kibali upo?? Au ni ngumu kwa sababu ya Ile situation ya kuwa accepted automatically kwenye taasis unayotaka kwenda?
uwezekano upo kwa 100% kupata maana kimya maana yake ni wamekubali we uendelee na taratibu
 
uwezekano upo kwa 100% kupata maana kimya maana yake ni wamekubali we uendelee na taratibu
Samahani mkuu naomba nikuulize, kama ulivyosema kuwa we ni mkufunzi wa huu mfumo toka kipindi unaanza, sasa naomba kufahamu hivi huu mfumo hauwezi kutoa barua kidigital, kwa maana wana-accept kwenye kiunganishi cha kukubali ombi then barua inajidrafti auto na kukakaa kwenye ESS ya muhusika ili kuharakisha mchakato..?
 
Ukituma Transfer Vacancy Request..
Unasubiri Ipitishwe na Taasisi Uliyopo.kwanza Mkurugenzi wa Taasisi yako akiipitisha..
Ataituma kwenda Destination Insitute / (Taasisi unayotaka kuhamia)...

Taasisi unayotaka Kuhamia kama watakuwa na Nafasi ya Kupokea Mtumishi watakubali Request yako kwahyo wata APPROVE..

wakimaliza Utaletewa Option ya Kuanza Kuinitiate Transfer Sasa..
Na Hapo ndo utaanza Kuomba Maombi ya Uhamisho...
Baada ya Kuomba Taratibu zitaenda kwa Mkurugenzi wako mpaka kwa Katibu mkuu Utumishi..

Na baada ya Kupewa Permit ya Kuhama kutoka Utumishi..
Utahama Rasmi
Je, kuna hali ya kutoboa kwa maombi ambayo yamekaa muda zaidi ya miezi 5 utumishi?
 
Je, kuna hali ya kutoboa kwa maombi ambayo yamekaa muda zaidi ya miezi 5 utumishi?
Mkuu, hii comment akiiona Liverpool VPN ataweweseka kabisa.. maana ombi lake limefika Utumishi mwezi huu na ana mzuka wa kuhamia huko kwenye Maokoto manene🤣
 
Mkuu, hii comment akiiona Liverpool VPN ataweweseka kabisa.. maana ombi lake limefika Utumishi mwezi huu na ana mzuka wa kuhamia huko kwenye Maokoto manene🤣
Hii dunia kila mtu na jini lakeee...
Kuna mtu kahama mwezi huu huko kwetu ombi lake lilikaa utumishi siku 20 na ya 21 wakamjibu.
Na baada kama siku 10 akapokea barua.

Hii dunia kila mtu na BAHATI YAKE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Samahani mkuu naomba nikuulize, kama ulivyosema kuwa we ni mkufunzi wa huu mfumo toka kipindi unaanza, sasa naomba kufahamu hivi huu mfumo hauwezi kutoa barua kidigital, kwa maana wana-accept kwenye kiunganishi cha kukubali ombi then barua inajidrafti auto na kukakaa kwenye ESS ya muhusika ili kuharakisha mchakato..?
Wallahi sijakuelewa
 
Hii dunia kila mtu na jini lakeee...
Kuna mtu kahama mwezi huu huko kwetu ombi lake lilikaa utumishi siku 20 na ya 21 wakamjibu.
Na baada kama siku 10 akapokea barua.

Hii dunia kila mtu na BAHATI YAKE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kumbe wanaanza kujibu kwanza then baada ya siku kadhaa wanaweka na barua..!!
 
Back
Top Bottom