God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
- Thread starter
- #21
sawa mkuu.hdd hazitaki kugongwa gongwa usafiri wetu huu wa posta wakiipack vibaya tu ni tatizo
sawa mkuu.hdd hazitaki kugongwa gongwa usafiri wetu huu wa posta wakiipack vibaya tu ni tatizo
Mkuu Chief unaposemamkuu jifunze kitu kinaitwa RAID, unaweka HDD mbili kwa pamoja inakuwa HDD moja na kila kilicho kwenye hdd moja kinakuwa cloned na kuekwa hdd nyengine, hapa ikiharibika moja basi ya pili inakuwa na data zote, japo ni expensive sababu ni HDD mbili ila ni njia ya uhakika.
pia fahamu zile external ni internal zinavishwa cover hivyo unaweza kwenda dukani ukanunua mpya lets say 1tb kwa 100,000 ukaivisha cover.
brand nzuri mkuu ni Hitachi sema ni ngumu kuzipata bongo, kila siku nazikuta ndani ya thinkpad na nina laptop yenye hitachi toka 2011 ipo fresh pia survey mbali mbali online zinaonesha hivyo
![]()
toshiba, western digital na seagate pia wanajitahidi kiasi chao, tofauti na hapo hao wengine sifahamu
Unanunua hdd 2 za kawaida kuipata.Mkuu Chief unaposema
"jifunze kitu kinaitwa RAID, unaweka HDD mbili kwa pamoja inakuwa HDD moja na kila kilicho kwenye hdd moja kinakuwa cloned na kuekwa hdd nyengine, hapa ikiharibika moja basi ya pili inakuwa na data zote, japo ni expensive sababu ni HDD mbili ila ni njia ya uhakika" hapa una maananisha kuwa unanunua HDD mbili au zaidi then huwa kuna namna ya kutengeneza hiyo RAID au una maanisha kuna tayari HDD ambazo ni RAID ambazo zinauzwa? if kuna namna ambayo IT Technician anaweza kutengeneza hiyo RAID je vitu gani vitahitajika vinunuliwe then mtu ampe IT Technician atengeneze? sorry nimeuliza nikiwa sina clue na hivi vitu so usinicheke au kushangaa, nina video zangu nyingi sana sasa sitaki zipotee japo nitazihifadhi kwenye gdrive but still nataka nizihifadhi na kwenye external HDD pia ili niweze kuzitumia kwa urahisi pindi ninapozihitaji