God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Habari za asubuhi wakuu, Heri ya mwaka mpya 2017.
Natumani sikukuu inaenda salama kabisa.
Ni vyema kabla ya kufanya manunuzi kuchunguza kwanza vitu/vifaa husuka unavyonunua kama vinakidhi kiwango.
Ninataka kununua external storage kwaajili ya kuweka data zangu sehemu salama kwa sababu kwenya computer sio salama sana wazungu wanasema "Things happens" so huwezi jua hivyo basi ni vyema kuchagua sehemu ya kuhifadhi data zako ili tatizo lolote likitokea kwa computer yako usipoteze data.
Zipo njia za kuweka online ila sizipendelei sana kwa sababu nigharama mno, kuweka zaid ya GB500 sio mchezo, mfano google drive wanatoa hadi 15GB bure ukizidisha lazima ulipie sasa hapo sio mchezo ni gharama kubwa sana bora tuu kununua kifaa chako ukitunze offline na uki access mda wowote pia encrypt na funga kwa password ili kikipotea kisiweze kutumika popote labda wafute data zote.
Sasa naombeni mnijuze kati ya transcend na seagate external storage device ni bidhaa gani bora kwa -Kutokudhuruka na physical shock hata kikidondoka kifanye kazi vizuri tuu
- Hakifi hara nikiwa na maana uweze kukitumia mda mrefu pasipo drawbacks yoyote
-Software problem kama ku collapse, au virus activity hawakiathiri.
Natanguliza shukrani kwa mchango wenu.
Nawakilisha.