Hahaha, aisee! Nimekumbuka kwanza wimbo wa 'stimela' wa yvone chakachaka. Kuch kuch, via soweto!
Sijaona hizo treni ila nadhani kama zilitumia kuni na mkaa, efficiency yake itakua ilikua ndogo sana. Imagine kuendesha dude lile hadi kigoma na kurudi dar,ungekatwa msitu size gani? Na sasa tungeshakua jangwa! Lakini pia kuna uchafuzi wa hali ya hewa pia. Nahisi ulichoona ww yalikua makaa ya mawe (calorific value/nishati inakua kubwa kuliko ya kuni ikifuatiwa na ya mkaa). Hivyo linabeba behewa zima fuel, na wakifika mbele huko wabebelee tena!
Haya ni mawazo tu ya kimtazamo, sina hakika kama zilikuwepo lakini nafikiria tu sababu za kutupilia mbali.