Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,610
- 287,321
Wewe utakuwa ni trafficTusuburi ajali za barabarani ziongezeke
Hivi siku hizi hakuna Spidi gavana ?Tusuburi ajali za barabarani ziongezeke
[emoji38][emoji38][emoji38]Wewe utakuwa ni traffic
Wahuni wale walikua hawapunguzi ajali Wala nini. Ajali ya gari la wanafunzi Mtwara isingetokea Kama Hawa Wala rushwa wangekua wanakagua magari.Tusuburi ajali za barabarani ziongezeke
Hivi siku hizi hakuna Spidi gavana ?
Wewe utakuwa ni traffic
Wahuni wale walikua hawapunguzi ajali Wala nini. Ajali ya gari la wanafunzi Mtwara isingetokea Kama Hawa Wala rushwa wangekua wanakagua magari...
Hahahahahaha kuna mmoja anaitwa kinyota Askari flani hivi yupo hapo Mlandiz saa ingine pale pale Ruvu DarajaniWahuni wale walikua hawapunguzi ajali Wala nini. Ajali ya gari la wanafunzi Mtwara isingetokea Kama Hawa Wala rushwa wangekua wanakagua magari...
na kweli, itakuwa shida sana tena sanaTusuburi ajali za barabarani ziongezeke
kumbuka ajali zitaongezeka sana maana walikuwa kwa kiasi fulani wanasaidia kuwadhibiti madereva washenziSafi sana.... traffic jam za kipuuzi zitaisha sasa hasa barabara za kwenda Mikoani!
HahaaaaaaWahuni wale walikua hawapunguzi ajali Wala nini. Ajali ya gari la wanafunzi Mtwara isingetokea Kama Hawa Wala rushwa wangekua wanakagua magari.
...
lakini kwa bahati mbaya Moderator akaunga uzi ule kwa mafundo mengi utadhani HIRIZI WANAZOTAPIKA WAUMINI WA MWAMPOSA[emoji23]Tuliweka uzi humu kuhusu Polisi wa barabara kupunguzwa , huku wengi wao wakipangiwa kulinda Mabenki Usiku , lakini kwa bahati mbaya Moderator akaunga uzi ule kwa mafundo mengi utadhani HIRIZI WANAZOTAPIKA WAUMINI WA MWAMPOSA...