Trafiki waanza rasmi kukamata magari yote yenye taa za urembo, Sports Light

Zifungiwe maana ni KERO kubwa sana, taa inawaka mpaka unapoteza muelekeo mtu akikuwashia full?!
 
Huo wivu huo ndo maaana kuna dim chakufanya ni kutoa ushauri kwa madereva
dim hawatumii mkuu sina wivu kidogo juzi niingie mtaroni kisa jamaa kaja na mtaa wake kanipiga mpaka macho yanakosa mwelekeo kwa kweli hawafuati sheria na sababu ni urembo lengo lao ni kuziwasha sana barabarani si salama ,.. impact yake naijua mkuu.. kuremba gari si kosa kosa kuweka vitu vinavyoatarisha uhai wawengine mpaka usiku wanatufanya tunaendesha magari na sun glass incase akitoea chizi fulani
 
Wakimaliza hilo zoezi wakati na wale walioweka tinted kioo cha cha mbele
 
dim hawatumii mkuu sina wivu kidogo juzi niingie mtaroni kisa jamaa kaja na mtaa wake kanipiga mpaka macho yanakosa mwelekeo kwa kweli hawafuati sheria na sababu ni urembo lengo lao ni kuziwasha sana barabarani si salama ,.. impact yake naijua mkuu.. kuremba gari si kosa kosa kuweka vitu vinavyoatarisha uhai wawengine mpaka usiku wanatufanya tunaendesha magari na sun glass incase akitoea chizi fulani
Mbaya zaidi wengine wanaziwasha mchana jua kali, unashindwa kuelewa gari inadharura ipishwe njia au nini, Maana gari kuwasha taa mchana ni pamoja na kuwajulisha watumiaji/madereva wakupishe una dhararu. Siku hizi hata zile taa za ukungu, kipindi cha mvua ( Fog Lamps ) zinawashwa mchana jua kali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom