Trafiki waanza rasmi kukamata magari yote yenye taa za urembo, Sports Light

Mbaya zaidi wengine wanaziwasha mchana jua kali, unashindwa kuelewa gari inadharura ipishwe njia au nini, Maana gari kuwasha taa mchana ni pamoja na kuwajulisha watumiaji/madereva wakupishe una dhararu. Siku hizi hata zile taa za ukungu, kipindi cha mvua ( Fog Lamps ) zinawashwa mchana jua kali
mkuu ni tatizo wacha tu wakamatwe
 
Hilo mimi siwatetei hata kidogo wakamatwe tu,maana waliozifunga hizo taa wanamaudhi kweli unakutana naye usiku kiustaarabu kabisa unashusha taa zako yeye anakuwashia full then ana enjoy,kuna siku nilinusurika kifo kwa ujinga wa hao jamaa kwa hiyo walipishwe tu hakuna kuwatetea.
 
mkuu Ulishawahi kuona swala wanavyokuwa wakipigwa na izo taa?? izo taa humu mabarabarani sio mahala pake asilimia kubwa zimetengenezwa kwa ajili ya rough road na kuwindia...
8cc8ba4ecec1b9007d3cde5659bf3c79.jpg


107b53318003b07c0443b1c850910368.jpg
b0529173e36e227e8bcf31da39252e5e.jpg
eab3e4ec5ac3725690ffa86cd4e2a490.jpg
 
1. kuna wanaowasha fog light muda wote
2. bajaji nao wanao za ovyo kabisa
3 boda boda nao
4. je matumizi ya taa hawakamti- full light - hasa daldala
 
Wanaotetea ni wale waliozifunga kwenye magari yao na wale ambao wanapanda magari lakini hawayaendeshi. Unakuta mtu amekaa pembeni anajipodoa tu au anachat njia nzima hajui kero ya hizo taa halafu anakuja hapa kutetea.
Acha wakamatwe na hili zoezi liwe serious sio 'kubeep'
 
504fe71f8b2504b428500691665fcba2.jpg


Wanaotetea gari zenye taa, sijui rims sport tinted taa, zikamatwe ni wazee humu jf waliowengi

Sasa nasemaje waje kukamata hiyo tezza hapo nitawanyoosha hao matrafiki na kila trafiki abebe msalaba wake hakuna namna
Teh teh teh teh teh teh teh teh.....
 
Wanaotetea ni wale waliozifunga kwenye magari yao na wale ambao wanapanda magari lakini hawayaendeshi. Unakuta mtu amekaa pembeni anajipodoa tu au anachat njia nzima hajui kero ya hizo taa halafu anakuja hapa kutetea.
Acha wakamatwe na hili zoezi liwe serious sio 'kubeep'

ahahahaaha eti anafanya nini :D:D:D
 
Kutokana na kusumbuliwa na tochi hizi za barabalani kwa muda mrefu mwenzenu nipewa mbinu yakuziepuka tochi hizi.
Ukitaka usikamatwe speed na hawa trafik weka CD empty juu kwenye dash boad ya gari yako, hapo toch yao haikupati speed yako,
 
Hizi taa ni tamu balaa, ukikutana na L Usiku lazma ahame nje ya barabara, unampiga full unazima taa zote ndani ya sekunde moja then unawasha tena utaskia kilio huko nyuma ndani ya mda mfupi
 
tuelezee exctly inafanyaje kazi na unaiwekaje, je inazuiaje?
isije ikawa kinjekitile na risasi kugeuka maji!! - watu wakafa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom