Rasmi sasa magari yote yaliyofungwa Taa za nyongeza kukamatwa! Nimeshuhudia jamaa watu kadhaa Leo wakibishana na trafiki kuhusu kukamatwa Kwa kosa hilo!
Haijafahamika Mara moja kama kosa je ni mwanga mkali au nini; kama ni mwanga mkali je na hizi Taa za urembo nazo zinahusishwa Kwa kosa gani?
Inabidi ufafanuzi juu ya swala hilo utolewe!
Nawahurumia sana wafanya biashara Wa Taa hizi; ambao wameagiza mzigo na kulipia ushuru bandarini palipo na TBS! Halafu mzigo umeingia sokoni ndio unapigwa marufuku! Sielewi hiyo stock yao waipeleke wapi?
Au TBS walijuwa hizo Taa za magari zinaenda kufungwa kwenye Nyumba?