Lakini kama anachosema kina mashiko mbona.
Kadukuliwa Angel Mikel wa 'Ujeremani' kisha Mwajuma ndalandefu anakuwa na wasiwaaasi,Faragha ya mtu NI MUHIMU
Kadukuliwa Angel Mikel wa 'Ujeremani' kisha Mwajuma ndalandefu anakuwa na wasiwaaasi,
kwa umuhimu gani?
Sina lengo la kubishana lakini najaribu kuwaza tu;
Kuna Mtu akitembea kifua wazi ni mada ,
lakini yupo mwingine hata akitembea uchi hakuna wakumjadidili.
Sasa katika hili la faragha mtanaoni wapiga kelele ni akina sie ambao kweli hata lugha yetu tunachapia nani atatufuatilia??
Siingilii uhuru wa Mtu kupigania uhuru wake lakini.
Emancipate yourself from mental slavery none but yourself can free your mind.Kadukuliwa Angel Mikel wa 'Ujeremani' kisha Mwajuma ndalandefu anakuwa na wasiwaaasi,
kwa umuhimu gani?
Sina lengo la kubishana lakini najaribu kuwaza tu;
Kuna Mtu akitembea kifua wazi ni mada ,
lakini yupo mwingine hata akitembea uchi hakuna wakumjadidili.
Sasa katika hili la faragha mtanaoni wapiga kelele ni akina sie ambao kweli hata lugha yetu tunachapia nani atatufuatilia??
Siingilii uhuru wa Mtu kupigania uhuru wake lakini.
Huu ujumbe mtamu sana