Wewe Mzee Nondo mbona unatuchanganya? Mwaka wa 2029 June mbona uko mbali sana?Je Msioipenda Serikali ya awamu ya 5 na Ccm
yake bado hata kwa hili hampongezi?
Je Hamuoni kuwa msipoipongeza Serikali kwa
hili mtakuwa Wanafiki?
Je kuendelea na Unafiki hamuoni mtakuwa
chukizo kwa Mungu wa Mbinguni?
Basi njooni tusemezane Tanzania kumenoga.
Alafu andika vizuri July mwaka gani - mpaka June mwaka gani?
Then, onyesha walipanga kukusanya kiasi gani na wamekusanya kiasi gani. Hapo sasa tutatoa pongezi. Amen.
