TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

Siku ukitia akili kichwani kuhusu umuhimu mkubwa wa kuongeza mshahara hutauliza tena haya maswali yako ya kipuuzi.

Kukalili ndiyo nini!? 😳 usituharibie Kiswahili.

Mshahara utasaidia nini ukiongezwa? Je wafugaji waongezwe nini? Wakulima waongezwe nini? Wafanyabiashara waongezwe nini? Wachimbaji madini waongezwe nini? Kumbuka fedha unayotaka inatokana na kodi za kila mtu, hivyo kila mmoja anahaki kuifaidi. Sasa kwanini nyongeza iwe kwa kundi moja tu? Acha kukalili. Bora hela iende kwenye miradi ya kijamii ambapo wote tutafaidika. Acha kukalili.
 
Chukizo kwa mungu yupi au unamsema mungu wa burigi anaependa kusifiwa na kuabudiwa,ukimsema wasiojulikana wanakunyongea kisarawe
Je Msioipenda Serikali ya awamu ya 5 na Ccm
yake bado hata kwa hili hampongezi?
Je Hamuoni kuwa msipoipongeza Serikali kwa
hili mtakuwa Wanafiki?
Je kuendelea na Unafiki hamuoni mtakuwa
chukizo kwa Mungu wa Mbinguni?
Basi njooni tusemezane Tanzania kumenoga.

Typing error ni Mwaka 2019 na Si 2029
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi sijaelewa au mimi ni mgumu kuelewa??

July - June 2019?

Mleta uzi ana mihemko ya kusifu?
Ni mjinga kushindwa kujua alichoandika?
Ama hafahamu miezi vizuri?

Naomba mliomuelewa mnisaidie pls.
 
Makusanyo yote lakini bajeti yao hata trilioni 25 haifiki vizuri kwa mwakaungese tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Trillion 15.9?! Nampelekea taarifa kamanda msaliti ili aongeze juhudi kwenye utundulisu tunyimwe kabisa hata mikopo, maana naona tunaweza kujisimamia wenyewe.
 
Hata kma ni ma mega trilions, hatuwezi bisha.

Ila Bado JK anabaki kuwa jembe, kma alfanya miraji yote na bado kaajiri na kuongeza wafanyakazi.
 
Sasa kama wamekusanya zote hizo mbona wafanyakazi hawalipwi nyongeza za mishahara zao za kila mwaka kama sheria ya kazi inavyotaka?
Kwa nini wastaafu wanazunguushwa malipo
Na kwa nini wakulima wa korosho wanapigwa danadana kulipwa pesa zao
Au ndo hizo zimeenda kujenga uwanja wa ndege chato?
Ni kweli kabisa,hata akikusanya vipi halafu halipi watu fedha zao, ni nini sasa? Watu wawe maskini ni furaha yenu?
 
Je Msioipenda Serikali ya awamu ya 5 na Ccm
yake bado hata kwa hili hampongezi?
Je Hamuoni kuwa msipoipongeza Serikali kwa
hili mtakuwa Wanafiki?
Je kuendelea na Unafiki hamuoni mtakuwa
chukizo kwa Mungu wa Mbinguni?
Basi njooni tusemezane Tanzania kumenoga.

Typing error ni Mwaka 2019 na Si 2029

Hakuna kipindi hicho cha July June 2019. Hata kuandika hujui sembuse kufikiri.!!!!!!
 
Je Msioipenda Serikali ya awamu ya 5 na Ccm
yake bado hata kwa hili hampongezi?
Je Hamuoni kuwa msipoipongeza Serikali kwa
hili mtakuwa Wanafiki?
Je kuendelea na Unafiki hamuoni mtakuwa
chukizo kwa Mungu wa Mbinguni?
Basi njooni tusemezane Tanzania kumenoga.

Typing error ni Mwaka 2019 na Si 2029



Huyu Ndiye Pombe Magufuli:

- Wasema nyumba 8,000 kauza kwa mkono wake mwenyewe
- Apuuza maonyo ya wataalamu- Mafaili ya Sundi na Musa aliyabeba kwapani

ALIYEKUWA Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, katika Serikali ya awamu ya tatu, aliteka madaraka na kuwa mwenyekiti wa zoezi la kuuza nyumba za serikali ambazo hadi sasa, zimeshauzwa 8,288 imefahamika.

Habari zilizopatikana ndani ya wakala wa Majengo ya Serikali (TBA), zimethibitishia Rai wiki hii kwamba Magufuli alihakikisha anashiriki kama Mwenyekiti katika zoezi zima la kuuza nyumba, ambalo kimsingi lilistahili kusimamiwa na Mtendaji Mkuu wa TBA.

Kwa mujibu wa vyanzo kadhaa vya habari ndani ya TBA, Magufuli alifanya kila aina ya fujo katika zoezi la kuuza nyumba hizo, wakati mwingine akibatilisha maamuzi yaliyofanywa na Kamati ya TBA ya kuuza nyumba hizo, akiwapangia watu nyumba kwa utashi wake na wakati mwingine akiwakemea wale wote waliomshauri kinyume na matakwa.

Ni chini ya utaratibu huo, habari zinaeleza kwamba Magufuli, aliyabeba yeye mwenyewe mafaili ya ndugu zake; Musa Magufuli ambaye ni mdogo wake, na Sundi Malomo ambaye ni mzazi mwenzake na kuwalazimisha watendaji wa TBA wafuate matakwa yake katika kuwapatia nyumba ndugu zake hao.

Habari hizo zinaeleza kwamba awali Mtendaji Mkuu wa TBA alimshauri Magufuli kwamba suala la mauzo ya nyumba kwa ndugu zake ni kinyume cha utaratibu. Hata hivyo, imeelezwa kwamba Magufuli alilazimisha huku akisema mdogo wake hana tatizo kwa sababu alikuwa tayari mfanyakazi wa Serikali.

Musa aliajiriwa kwa mkataba wa miezi mitatu, baada ya mwezi mmoja akauziwa nyumba na baada ya miezi miwili akaacha kazi.

Kwa upande wa Sundi, kwanza ilikuwa Sundi auziwe nyumba moja kwa moja. Lakini Magufuli alipoonywa akashtuka na kusema suala hilo aachiwe yeye mwenyewe. Na ndipo akaibuka na jina la Stanley Manongi kwamba ndiye mnunuzi halisi na baba yake Sundi, vinasema vyanzo hivyo vya habari, vingine ambavyo vilishiriki moja kwa moja katika mchakato wa uuzaji nyumba hizo.

Habari hizo zinaendelea kueleza kwamba baadaye, Sundi alishtuka akitilia shaka uaminifu wa Manongi, kwamba angeweza kumdhulumu nyumba hiyo.

Ndipo Magufuli aliibuka na mpango wa Sundi kuwa mtoto wa Manongi na mrithi wake na kisha kwa kuhakikisha kwamba hakuna dhuluma yoyote, mtoto wa Sundi naye akarithishwa na kama mrithi wa pili, chanzo hicho cha habari kinaeleza.

Chini ya sheria ya Executive Agency Act No. 30 ya mwaka 1997, TBA ilipewa madaraka yote ya kuuza nyumba za Serikali, kujenga nyumba mpya, kuzikarabati zilizopo pamoja na kugawa nyumba za madaraja A, B na C kwa wafanyakazi wa Serikali.

Sheria hiyo inaipa mamlaka ya kipekee ya kufanya shughuli zote bila kuingiliwa na chombo chochote.

Chini ya sheria hiyo, Waziri anaruhusiwa kuteua wajumbe wa bodi ya ushauri watakaomshauri Katibu Mkuu wa Wizara juu ya namna nzuri ya TBA kusimamia mamlaka yake.

Hadi Machi mwaka huu, wajumbe hao walikuwa ni J. Kijazi, E. Lipambila, E. Lugwisha, Msangi, E. Mwakalinga, D. Kisasi, P. Ncheye, F. Werema na A. Bukuku.

Hata hivyo, sheria haitoi nafasi yoyote kwa Waziri kusimamia shughuli za uuzwaji au upangaji wa nyumba za serikali.

Mtendaji Mkuu wa TBA Togolayi Makumba Kimweri, alipoulizwa kupitia kwa Katibu Muhtasi wake, alimwambia mwandishi wa Rai aandike maswali kisha asubiri kuruhusiwa kuingia ndani ya ofisi.

Hata hivyo, baada ya kusubiri kwa muda wa saa moja, mwandishi alipokwenda kuuliza akaambiwa kwamba Kimweri tayari alikwishaondoka ofisini kupitia mlango wa nyuma na asingeweza kurudi ofisini.

Lakini baadhi ya wafanyakazi wa TBA wameiambia Rai kwamba kinachoandikwa kwenye magazeti kuhusu ushiriki wa Magufuli kuuza nyumba za Serikali ni kidogo mno kuliko hali halisi.

Kama ilivyokuwa kwa mdogo wake Musa, waziri Magufuli alishinikiza mtoto wa dada yake anayeitwa James Doto Mgosha auziwe nyumba za serikali kwa kumtengenezea ajira ya muda mfupi katika TANROADS.

Tofauti na Musa, Doto ameuziwa nyumba hiyo kwa jina la mtu mwingine lakini anaishi katika nyumba hiyo, namba 64 iliyopo Kinondoni Flats.

Habari kutoka TBA zinaonyesha jina la mtu mwingine (tunalihifadhi) kuwa ndiye aliy
 
Mshahara utasaidia nini ukiongezwa? Je wafugaji waongezwe nini? Wakulima waongezwe nini? Wafanyabiashara waongezwe nini? Wachimbaji madini waongezwe nini? Kumbuka fedha unayotaka inatokana na kodi za kila mtu, hivyo kila mmoja anahaki kuifaidi. Sasa kwanini nyongeza iwe kwa kundi moja tu? Acha kukalili. Bora hela iende kwenye miradi ya kijamii ambapo wote tutafaidika. Acha kukalili.
Tako hili... Linapotezea watu muda.
 
Je Msioipenda Serikali ya awamu ya 5 na Ccm
yake bado hata kwa hili hampongezi?
Je Hamuoni kuwa msipoipongeza Serikali kwa
hili mtakuwa Wanafiki?
Je kuendelea na Unafiki hamuoni mtakuwa
chukizo kwa Mungu wa Mbinguni?
Basi njooni tusemezane Tanzania kumenoga.

Typing error ni Mwaka 2019 na Si 2029

Kwaninj mumemuua Lwajabe?
 
Back
Top Bottom