Ni kweli mku ni July 2018 mpaka June 2019 kama kwenye gazeti la leo. Wamekusanya T15.5 malengo ilikua T18. Hongera kwa makusanyo. Kwa wastani kila mwezi ni T1.3Anamainisha July 2018-June 2019
Ni kweli mku ni July 2018 mpaka June 2019 kama kwenye gazeti la leo. Wamekusanya T15.5 malengo ilikua T18. Hongera kwa makusanyo. Kwa wastani kila mwezi ni T1.3Anamainisha July 2018-June 2019
Rudi shule kwanza kijanaJe Msioipenda Serikali ya awamu ya 5 na Ccm
yake bado hata kwa hili hampongezi?
Je Hamuoni kuwa msipoipongeza Serikali kwa
hili mtakuwa Wanafiki?
Je kuendelea na Unafiki hamuoni mtakuwa
chukizo kwa Mungu wa Mbinguni?
Basi njooni tusemezane Tanzania kumenoga.
Typing error ni Mwaka 2019 na Si 2029