Ze burner
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 514
- 83
Wanadai ni kwa sababu ya kubadilika kwa taratibu za kiutendaji ambapo kuna vitengo vimebadilishwa kazi zake za awali na kupewa kazi nyengine. baadae kidogo nikamfuata mshkaji wangu mmoja ambaye anafanya kazi na taasisi moja ya utoaji magari bandarini hapo yeye alinieleza kwamba wao kama ndio kazi zao za utoaji wa magari wameshazoea kwani TRA bandarini hapo (dsm) ndiyo mchezo wao. "... wanapojiskia tu leo ngoja tuwasumbue wenye magari basi hufanya hivyo..... tena hiyo inaweza kudumu hata wiki mbili ndiyo furaha yao..." sisi (ma agents tunajua kuwa ikitokea hivi huwa wananjaa basi hujikusanya ndo hivyo tena.... "afisa mmoja wa TRA baada ya kuulizwa mabadiliko hayo yameanza lini yeye alisema huku na mimi nikiwepo hapo kuwa ni siku ya jumamosi. hii ni kusema kuwa toka siku hiyo hakuna gari yoyote kutoka iliyotoka bandarini mpaka leo jumanne ila zinazotoka nje direct zinatoka kama kawaida.
Mmoja kati ma agents alisema "hao bwanaa hawataki kabisa magari yatoke zanzibar... lengo ni kuuwa kabisa biashara ya bandari zanzibar..."
Ok! sasa cha ajabu hayo mabadiliko hayafahamiki ni vitengo gani vitahusika na utoaji wa magari bandarini hapo mpaka leo huku kila kitengo kikikataa kutoa huduma husika bila maelezo yoyote. Hivi kweli jamani huu ndo utendaji wa wapi? na kwa nini wasitumie utaratibu wa zamani hadi wajipange vizuri? wana jf mnajua zaidi.
source: myself - katika field