Tra yagomea magari kutoka zanzibar kuingia tanzania mainland!!!

Ze burner

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
514
83
Wanadai ni kwa sababu ya kubadilika kwa taratibu za kiutendaji ambapo kuna vitengo vimebadilishwa kazi zake za awali na kupewa kazi nyengine. baadae kidogo nikamfuata mshkaji wangu mmoja ambaye anafanya kazi na taasisi moja ya utoaji magari bandarini hapo yeye alinieleza kwamba wao kama ndio kazi zao za utoaji wa magari wameshazoea kwani TRA bandarini hapo (dsm) ndiyo mchezo wao. "... wanapojiskia tu leo ngoja tuwasumbue wenye magari basi hufanya hivyo..... tena hiyo inaweza kudumu hata wiki mbili ndiyo furaha yao..." sisi (ma agents tunajua kuwa ikitokea hivi huwa wananjaa basi hujikusanya ndo hivyo tena.... "afisa mmoja wa TRA baada ya kuulizwa mabadiliko hayo yameanza lini yeye alisema huku na mimi nikiwepo hapo kuwa ni siku ya jumamosi. hii ni kusema kuwa toka siku hiyo hakuna gari yoyote kutoka iliyotoka bandarini mpaka leo jumanne ila zinazotoka nje direct zinatoka kama kawaida.

Mmoja kati ma agents alisema "hao bwanaa hawataki kabisa magari yatoke zanzibar... lengo ni kuuwa kabisa biashara ya bandari zanzibar..."
Ok! sasa cha ajabu hayo mabadiliko hayafahamiki ni vitengo gani vitahusika na utoaji wa magari bandarini hapo mpaka leo huku kila kitengo kikikataa kutoa huduma husika bila maelezo yoyote. Hivi kweli jamani huu ndo utendaji wa wapi? na kwa nini wasitumie utaratibu wa zamani hadi wajipange vizuri? wana jf mnajua zaidi.

source: myself - katika field
 
Mh! Kama hivyo ndivyo basi itakuwa kazi ya Chadema hiyo kuigombanisha Serikali ya ccm na waislamu wa visiwani! Hawa wachaga si ndio wapo wengi pale TRA, ninavyojua mimi hadi leo ZNZ ni Part of TZ, haijatangazwa vinginevyo rasmi!
JK hujuma hiyo unaijua?
 
Mh! Kama hivyo ndivyo basi itakuwa kazi ya Chadema hiyo kuigombanisha Serikali ya ccm na waislamu wa visiwani! Hawa wachaga si ndio wapo wengi pale TRA.

Acha kuleta uchonganishi wa makabila.....upo sayari gani wewe mpumbavu.......
 
Mh! Kama hivyo ndivyo basi itakuwa kazi ya Chadema hiyo kuigombanisha Serikali ya ccm na waislamu wa visiwani! Hawa wachaga si ndio wapo wengi pale TRA, ninavyojua mimi hadi leo ZNZ ni Part of TZ, haijatangazwa vinginevyo rasmi! JK hujuma hiyo unaijua?
I can c the point.
 
Mh! Kama hivyo ndivyo basi itakuwa kazi ya Chadema hiyo kuigombanisha Serikali ya ccm na waislamu wa visiwani! Hawa wachaga si ndio wapo wengi pale TRA, ninavyojua mimi hadi leo ZNZ ni Part of TZ, haijatangazwa vinginevyo rasmi!
JK hujuma hiyo unaijua?

We mwita25 si umepigwa BAN ndo umekuja na id yako nyingine mode hii hukuiona ktk zile 5
 
We nawe tumia akili,
Mwita25 sasa ni Chadema, ataipondaje tena Chadema hiyohiyo?
Hiyo ni ID nyingine ya either Ritz, Rejao, Ff, Ms n.k.
 
hawa jamaa bana hawaeleweki wamekataa kata kata.
na kwa mujibu wa sheriza za nchi tunaelezwa kuwa ushuru utalipwa katika kitucho cha kwanza mzigo utakaposhuka ie ikiwa znz, dsm, tanga nk. hivyo mtu hatakiwi kulipa ushuru mara mbili. tra bado wanalipisha ushuru mara mbili. wafanyabiashara hawajakaidi wanalipa vizuri tu. bado ndugu zetu wa tra wanaona hiyo haitoshi ni bora wasitoe magari kabisa. hivi hawa jamaa wanawatafuta nini hasa wa znz? na wafanyabiashara wengine wa tanganyika?
 
That why I hate muungano,hivi jamani tutaishi kiunafiki hadi lini? wabara hautaki muungano wa visiwani hawautaki muungano sasa mnashindwa nini kuuvunja?
Wanadai ni kwa sababu ya kubadilika kwa taratibu za kiutendaji ambapo kuna vitengo vimebadilishwa kazi zake za awali na kupewa kazi nyengine. baadae kidogo nikamfuata mshkaji wangu mmoja ambaye anafanya kazi na taasisi moja ya utoaji magari bandarini hapo yeye alinieleza kwamba wao kama ndio kazi zao za utoaji wa magari wameshazoea kwani TRA bandarini hapo (dsm) ndiyo mchezo wao. "... wanapojiskia tu leo ngoja tuwasumbue wenye magari basi hufanya hivyo..... tena hiyo inaweza kudumu hata wiki mbili ndiyo furaha yao..." sisi (ma agents tunajua kuwa ikitokea hivi huwa wananjaa basi hujikusanya ndo hivyo tena.... "afisa mmoja wa TRA baada ya kuulizwa mabadiliko hayo yameanza lini yeye alisema huku na mimi nikiwepo hapo kuwa ni siku ya jumamosi. hii ni kusema kuwa toka siku hiyo hakuna gari yoyote kutoka iliyotoka bandarini mpaka leo jumanne ila zinazotoka nje direct zinatoka kama kawaida.

Mmoja kati ma agents alisema "hao bwanaa hawataki kabisa magari yatoke zanzibar... lengo ni kuuwa kabisa biashara ya bandari zanzibar..."
Ok! sasa cha ajabu hayo mabadiliko hayafahamiki ni vitengo gani vitahusika na utoaji wa magari bandarini hapo mpaka leo huku kila kitengo kikikataa kutoa huduma husika bila maelezo yoyote. Hivi kweli jamani huu ndo utendaji wa wapi? na kwa nini wasitumie utaratibu wa zamani hadi wajipange vizuri? wana jf mnajua zaidi.

source: myself - katika field
 
Kwani ushuru wa bidhaa km magari ni suala la muungano?
mkuu kweli ni suala la muungano kwa taratibu kwamba... bidhaa italipiwa ushuru katika port ya mwanza itapofikia biashara hiyo. ila tiiiiiii rrrrrrrrrr aaaaaaaaa wamegoma na wanafanya wanavyojiskia wao wanalipisha kodi kama kawa.
 
Back
Top Bottom