TRA wameshaanza usajili wa magari

Gari yenyewe inahusika pia, ushaweka tofauti njiani si mbaya pia ukiweka tofauti kwenye plate number.
 
ngoja nami nifanye mchakato
 
Mie nachosikitika hilo pato la serikali linakuja kuishia kwenye midomo ya wachache.
 
Hawa TRA wanataka kujenga matabaka katika nchi yetu najua matabaka yalikuepo lkn sasa wanataka kuyaonyesha wazi wazi.Hivi ni mimi mzee wa Katavi ntaweka plate namba ya jina langu kwenye gari yangu ya Starlet tena niliyoinunua kwa mkopo wa bank.Sio wanataka tuwajue mafisadi vizuri ili tuendelee kuwaabudu
 
wewe jamaa utakuwa pimbi i think......
kama huwezi arifu piga kimya wenye uwezo wanaweka ma pleti ya mkwanja mrefu.....
 
Waliwahi kunena "Nchi itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno" upo hapo!?
Ukombozi haupatikani mezani!!
 
yaani huyu buzi likikata kama lazima arudi tra ktafuta T100DAA.
kwa sababu hiyo namba ukikaa miaka 5=milioni 25.
 
Teh teh teh.....na kama license plate ingetosha basi jina zima lingewekwa....Le Mutuz Le Baharia Ze Biiig Show Kata Kivuko @ DSM City.....

Ila personalized license plates ni kujichoresha. I did that 10 years ago and I didn't like it.

To be honest ni ushamba fulani...........sawa na kuvaa T-shirt yenye picha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…