TRA wagonga hodi kwa Wakulima

TRA
Ieleweke tu kwamba hakuna jiwe litasimama bila kugeuzwa....

TRA inahusika na kukusanya KODI YA MAPATO! Mkulima hana mapato? Hastahili kulipa kodi? Mbona mnajaribu kulifanya suala hili kama vile ni TABOO kwa mkulima kulipa kodi? Halafu mnavyolishabikia utadhani Serikali INAWAONEA WAKULIMA. Uzuri ni kwamba wakulima nao wanajua umuhimu wa kodi na kama wana kipato chochote, basi nao wanastahili kuchangia kwa njia moja au nyingine kwenye suala la kodi kwa ajili ya maendeleo yetu.
 
KWELIIIIIIIIII KABISA KWELIIII TUPU

Mitanontena

MAENDELEO YANA CHAMA CHAKE ILA SIO CCM!!!
Mtajaribu sana kuwachochea wananchi dhidi ya Serikali yao, lakini hamtaweza, kashindwa Lissu na Bob, mtaweza nyie!? Watanzania hawa kwa sasa, baada ya kumsikiliza sana Lissu kwa siku 60 za kampeni, sasa wanajua MBIVU NA MBICHI, siyo rahisi kuwachanganya.
 
Watanzania hawapendi kulipa kodi, hebu fikiria wanalia mkulima kulipa kodi. Nchi gani duniani wakulima hawalipi kodi, tena katika walipa kodi wenye tax exemption nyingi Tanzania ni wakulima.
 
Kodi ya kitambi, pia Malaya walipe kodi mana wanaingiza hela nyingi sana na sahivi wako official wana website yao. Wamiliki wa website walipe kodi, wanaomiliki akaunti za Insta, Facebook, WhatsApp or telegram or any social networks. Wanaopiga mziki mkubwa kero kwa Jirani walipe kodi.

Yaani kodi zipo kila kona. Hata kile kiingilio cha kumbi za disco zilipwe.

Yaani ni mwendo wa kodi Kwenda tulipe kodi asiyetaka kulipa kodi ahame. Hivi unajua USA na UK viwango vya tax zao ukoje na wako vipi siriasi kwa kodi kabla hujadhihaki kwenu.
 
Umenena vyema japo wapo wakulima wa aina nyingi. Huwezi kusema sumry Ncha Kali aliyelazimika kuachana na biashara ya mabasi akaingia ktk kilimo hana uwezo wa kusubiri bei!!!!! Vivyohivyo kwa mtoto wa mkulima mr kayanza.

Huyo unaye ona kalimwa barua ujue TRA wamesha fuatilia mwenendo na wanajua anaendeshaje kilimo chake. Tusicho kijua ni kwamba huwenda pia wamesha nusa mamilioni kwenye account yake.

Kumbuka hao jamaa hawajihangaishi bila kunusa kuwa mahala fulani wanaweza kupata chochote. Ukisha sikia kaambiwa miaka mitatu ujue mamilioni yanamhusu.

Kumbuka ya st. Jude school.
Hapa kuna Mkono wa siasa umeingia inaonekana huyo Mkulima ni ANT GOV sasa wameamua kumuonyesha makali na hapo atapigiwa hesabu za kumfirisi.
 
Back
Top Bottom