steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,343
- 13,365
Kama ni shamba la uwekezaji na kuna wafanyakazi walioajiriwa, huyo mwekezaji anastahili kulipa kodi kwani litakuwa linaingiza mapato.
Halafu issue ya kodi hata mkulima anatakiwa kulipa kodi ili mradi tu awe anaingiza mapato.
Hapo nipo pamoja na TRA.
Wajitahidi kutoa elimu ya kutosha ya kodi na kubuni vyanzo rafiki vya kodi ili tuinue uchumi wetu.