Magufuli hana cha kupoteza kwani anajua fika kuwa hawakumpa kura na bado ndiye Rais hivyo anaweza akawafanya anavyotaka na bado msimfanye chochote.
Kila mkulima kijijini baada ya mauzo lazima atalipa kodi ya mapato hasa kuanzia mwaka kesho na bila ya kuwasahau wenye nyumba za kupanga.
Hilo silo tatizo, tatizo ni pale hayo mapato yatokanayo na jasho la wananchi yatakapotumiwa kwa matakwa ya Magufuli mwenyewe pasipo kuzingatia mahitaji ya hao wanaokamuliwa. Ndio utawala wa kiimla ulivyo na sifa zake.