Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,762
- 4,516
Elimu, afya Bora, miji, mabarabara, viwanda, mashamba ajira zilikuwa tele, biashara kilimo vililipa mkoloni hakuwa na shida na mwafrika kumiliki mali wapo weusi wengi tu walimiliki Mali bora tu ulipe Kodi Nyerere aliwakataza watanzania kumiliki Mali na kuzitaifisha kwa kuwaaminisha umasikini ndio uzalendo.maendeleo yepi alikuletea mkoloni, nna mashaka na elimu yako hasa upande wa somo la historia
Tafuta historia halisi achana na sumu tulizopandikizwa kuhusu wakoloni kwa maslahi ya watawala walioaminisha watu tutakuwa zaidi kumbe wakaturudisha nyuma zaidi. Tuna KILA kitu lakini wameshindwa kubadili maisha ya watanzania.