TRA, wafanyabiashara wana temper na EFD machines

ili iweje kuiba tutaendelea kama vile sisi tunavyoibiwa na sisi tunaibaaaaaaa kama noma na iwe noma
 
Si afadhali ale huyo jamaa kuliko ziende kule upande ule maana hata zikienda kule hazina faida na jamii
 
Big up tunahitaji wazalendo kama ww i wish wabongo wangekuwa kama ww kuliko kutukana matisu ambayo hayahitajiki....
kodi zetu zinatumika hovyo hovyo na kina bashite wanalindwa na kuzurura nji nzima kama miungu ilhal kuna kika mama wanajifungua na tochi hakuna madawa upuuz mtupu mimi nikipata upenyo naendelea kuiba tu ..........
 
Kwanza kodi zinatumika hovyo sana gap likipatikana nalala nalo mbele hata 900 itapendeza.
 
Mkuu hata ungefuta bas baadhi ya details kwenye hiyo risiti.... Myself kariakoo nilinunua bidhaa ya 220,000 risit ikaandikwa 110,000. Issue sio mashine ni wauzaji ndio wanaandika bei sio ili kupunguza kodi.
 
Huna elimu ya vat na efd. Pesa unazolipa ni vat inclusive.
 
Watu wa ajabu sana aisee. Mimi sijubaliani na mambo mengi sana katika hii nchi. Lakini siwezi unga mkono ukwepaji kodi. Mimi na wale ''wanoko" (according to watu waliochangia huu uzi negatively) ambao ntadai efd receipt, na kama nikiibiwa kama siwezi kukaa kimya.
Huu ni upuuzi. Mleta uzi upo sahihi sana kufichua wakwepa kodi.
Mnawalaani kina lugumi afu hawa mnawachekea. Hakuna dhambi ndogo wala kubwa.
 
Aya ameniroga mama ako si ndio aliekufa?. We ni punguani mkubwa Tanzania hii nlipe kodi ili baba ako alieko serikalini aongeze kimada wa tatu?!!!.
Heshimu sana wazazi, utalaaniwa bure kwa vitu vidogo.
 
Mkuu nadhani hesabu za vat huzielewi. Kama ulitoa jumla ya tsh. 210,000 vat yake huwez kuipata kwa kutafuta 18% ya 210,000. Hyo 210,000 tayari ni vat inclusive.
 
Du mkuu unajionyesha jinsi ulivyopitwa sana na nahesabu ukiwa shule!!!
210,000 ni jumpla ya bei na VAT yake, sasa hapo bei halisi ni
210,000/1.18 = 177,966.10 (round up 178,000)

Kwa hiyo, bei ni 178,000 , VAT inay0takiwa kulipwa ni 18% ya 178,000!!!
Tafakari, penda hesabu!!!!
 
matatizo yanawafanya watu wawe wabunifu na wawe na akili nyingi, ukibana hapa wanapita pale, ukikomaa sana wanakutolea uvivu
 
Asante kwa kuwa upande wangu, naona nimeshaanza kupewa names na IRRESPONSIBLE CITIZENS! Jamani nchi yoyote duniani inaendelea kwa kodi na less than 25% non-tax income. Tuwe wazalendo
 
Ndio maana hata mimi inaniuma. Mi nalipa kodi STAHIKI kabla hata sijaishika hela yangu, na kipato changu ni way below ya hawa wafanyabiashara. Na hiyo kodi wanayokwepa na sisi end users tunachangia maana ni sehemu ya price tunayonunua. Call me whatever you may wish but as a law-abiding citizen I have obligation to uncover ujinga kama huu!
 
Another fool who cant hide his stupidity!
 
Puuzi sana we jamaa,kwa hiyo hizo ela kubaki kwa mfanya biashara imekuuma sana unatamani hizo pesa zikaingie mifukoni kwa bashite na lile jizii la chatto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…