Tena alipata hela nzuri ya kufa mtu, matanuzi na ulodi lofa umemfikisha hapo alipo, pesa ile angepata mchaga wa Kishmundu kazi ingefanyika, kodi ingelipwa, 10% ingegawiwa na mchaga angeendelea kuwa bilionea wa kutupwa hadi leo, hili lijamaa zuzu kabisa..Mh kweli kila zama zina watu wake,Huyu Lugumi alipeta san enzi za awamu ya nne lakini,Dawa ya deni ni kulipa lakini hamna namna.
Hapana shule kaka, chekechea na colleges..Hizo nyumba wangefanya yawe makazi ya mawaziri badala ya kuziuza.
SijakuelewaHapana shule kaka, chekechea na colleges..
Kwanini Mawaziri na viongozi?! Serikali ianzishe shule za watoto-chekechea na Colleges kwa ajili ya watoto wetu kwenye hayo majengo ya Lugumi, Mawaziri karibu wote wanauwezo, sana tu..Sijakuelewa
Tsh 14 billion na ushee!?kwani huyu mtu anadaiwa kodi kiasi gani
Naona TRA wamepanga kumfilisi hadi suruali, KARMA tuombe uzima 2030 nani mwingine ataisoma namba maana muda haudanganyi aisee.Tena alipata hela nzuri ya kufa mtu, matanuzi na ulodi lofa umemfikisha hapo alipo, pesa ile angepata mchaga wa Kishmundu kazi ingefanyika, kodi ingelipwa, 10% ingegawiwa na mchaga angeendelea kuwa bilionea wa kutupwa hadi leo, hili lijamaa zuzu kabisa..
Kodi anayodaiwa ni 14b Kama skoseiKumbe zinauzwa kwa ajili ya kodi!
nilidhani ni kwa ajili ya u.f.i.s.a.d
Inasemekana jamaa Ana nyumba Canada na Uk wajaribu kufanya utaratibu wazishike na za hukoNaona TRA wamepanga kumfilisi hadi suruali, KARMA tuombe uzima 2030 nani mwingine ataisoma namba maana muda haudanganyi aisee.
Kwa sheria mbovu za CCM wanatakiwa walipiwe usafiri, mawasiliano, umeme, makazi na matibabu.Kwanini Mawaziri na viongozi?! Serikali ianzishe shule za watoto-chekechea na Colleges kwa ajili ya watoto wetu kwenye hayo majengo ya Lugumi, Mawaziri karibu wote wanauwezo, sana tu..
Sidhani kama TRA wanakosa pale, au kazi yao kushughulikia watu sababu wana roho mbaya, nafikiri wasoma mitandaoni na kuona nchi zilizoendelea wanadai heri uuwe kuliko kukosa kulipa kodi ya dola, wenzetu kodi ni namba moja, sisi tulishabweteka na hizi sheria, ambazo zilikkuwepo, sasa Magu kayarudisha kwa kasi tunatafutana, hata mkopo mkuu ukichukuwa lipa na kodi zao, zamani tulikuwa tunahonga hapa na pale hatulipi kodi wala mikopo yetu, mazoea mabaya, tumerudishwa kwenye hali halisi, hakuna hela ya bure..Naona TRA wamepanga kumfilisi hadi suruali, KARMA tuombe uzima 2030 nani mwingine ataisoma namba maana muda haudanganyi aisee.
Kwa hiyo yale mengine ya kumbe hayajafukuliwa!!!Kodi anayodaiwa ni 14b Kama skosei
Ova
aiseeeeee kodi yote hii Tra walikua wapi mda woteTsh 14 billion na ushee!?
Kumbe inawezekana kuzikamata? basi watuletee naye nchini akaungane na Singasinga gerezani, maana huyu baba katuhujum kodi zetu.Inasemekana jamaa Ana nyumba Canada na Uk wajaribu kufanya utaratibu wazishike na za huko
Ova
To bought ndio niniDr Shika another chance to bought anything belong to Lugumi