TRA: Nyumba za Lugumi hazitoshi kulipa deni, hivyo tutashikilia mali nyingine za mfanyabiasha huyo

Mh kweli kila zama zina watu wake,Huyu Lugumi alipeta san enzi za awamu ya nne lakini,Dawa ya deni ni kulipa lakini hamna namna.
 
Tena alipata hela nzuri ya kufa mtu, matanuzi na ulodi lofa umemfikisha hapo alipo, pesa ile angepata mchaga wa Kishmundu kazi ingefanyika, kodi ingelipwa, 10% ingegawiwa na mchaga angeendelea kuwa bilionea wa kutupwa hadi leo, hili lijamaa zuzu kabisa..
 
Sijakuelewa
Kwanini Mawaziri na viongozi?! Serikali ianzishe shule za watoto-chekechea na Colleges kwa ajili ya watoto wetu kwenye hayo majengo ya Lugumi, Mawaziri karibu wote wanauwezo, sana tu..
 
Naona TRA wamepanga kumfilisi hadi suruali, KARMA tuombe uzima 2030 nani mwingine ataisoma namba maana muda haudanganyi aisee.
 
Inasemekana jamaa Ana nyumba Canada na Uk wajaribu kufanya utaratibu wazishike na za huko

Ova
 
Kwa sheria mbovu za CCM wanatakiwa walipiwe usafiri, mawasiliano, umeme, makazi na matibabu.
 
Naona TRA wamepanga kumfilisi hadi suruali, KARMA tuombe uzima 2030 nani mwingine ataisoma namba maana muda haudanganyi aisee.
Sidhani kama TRA wanakosa pale, au kazi yao kushughulikia watu sababu wana roho mbaya, nafikiri wasoma mitandaoni na kuona nchi zilizoendelea wanadai heri uuwe kuliko kukosa kulipa kodi ya dola, wenzetu kodi ni namba moja, sisi tulishabweteka na hizi sheria, ambazo zilikkuwepo, sasa Magu kayarudisha kwa kasi tunatafutana, hata mkopo mkuu ukichukuwa lipa na kodi zao, zamani tulikuwa tunahonga hapa na pale hatulipi kodi wala mikopo yetu, mazoea mabaya, tumerudishwa kwenye hali halisi, hakuna hela ya bure..
 
Inasemekana jamaa Ana nyumba Canada na Uk wajaribu kufanya utaratibu wazishike na za huko

Ova
Kumbe inawezekana kuzikamata? basi watuletee naye nchini akaungane na Singasinga gerezani, maana huyu baba katuhujum kodi zetu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom