TRA nyinyi sio wanyama lakini kwa hili hapana

Mkuu;
Pole sana kwa dhahama.Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi.
Iko hivi swala la kodi kwa wanaouza mtandaoni lina sura nyingi.

Kuna watu ambao wana entities ambazo zipo zinafanya biashara kwenye physical locations and goods na wanatumia online kama channel ya mauzo.hawa tayari wanalipa kodi na TRA hawana shida nao kwa sasa.

Pili kuna watu ambao wanakuja kwenye duka la mtu wa Jumla wanapiga picha bidhaa na kuzitangaza mtandaoni.Wao wanawekeza kwenye kutangaza.Kisha mteja akihitaji analipa wanaenda wananua kwa yule muuzaji na kisha wanampelekea mteja ambaye hawampi risiti wala nini bali wanakula tu faida yao yote.Kule wanakonunua hawadai risiti na wanakouza hawatoi risiti.Hawa TRA inataka ipate Pesa yao.

Kuna ale ambao mapato yao kwa maana ya bidhaa na huduma ni virtual kabisa yaani hawanunua kitu ila wanauza kitu fulani(Usiniulize ni nini wanauza) ila wanapata mapato kwa njia ya Mtandao na wanajitangaza mtandaoni na wanalipwa kwa njia ya Mtandao.Hawa nao ni walengwa wa TRA.

Sasa TRA wanataka ufanyeje?

Nenda TRA online Jisajili upate TIN ya Biashara,Kisha ainisha aina yako ya Biashara kwamba ni ya ONLINE.Kisha Jipatie Mfumo wa kutoa risiti kwa njia ya MTANDAO VFD.Mteja wako akinunua mtolee Risiti.Mtumie Mzigo wake Jitangaze kwa Uhuru,Jilipe Mshahara kwa UHURU.na TRA hawatakusumbua mpaka Utakapoanza kumake ONLINE na kuwa Brand kubwa.

Kitu TRA wanataka ni KODI.

Iwapo unahitaji Msaada na uongozi zaidi namna ya kusetup VIRTUAL BUSINESS basi wasiliana nasi kwa email masokotz@yahoo.com au simu namba 0715323060.

nakutakia kila la heri.
 
Acheni kulialia lipeni kodi wajinga nyie. Mwalimu analipwa 350k analipa kodi kwenye kipato chake. Wewe nani usilipe? Kodi inalipwa kwa kila kipato na kila transaction. Lipa kodi achakulialia. Ukiweza kulipa kodi kwa usahihi unapata uhalali wa kukosoa na kushauri. Uchungu wa kodi yako ndio uwe mzizi wa kudai haki sio porojo za lema au lisu.

Ukilipa kodi kwa usahihi na utakapoona serikali inaitumia vibaya hautaweza kukubali. Mnashindwa kuishurutisha serikali kwa sababu hamlipi kodi mnaishia kutukana tu mtandaoni.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu hapendi kulipa Kodi na msingi wa maendeleo kwenye taifa lolote ni Kodi, shida inakuja kwenye matumizi mabovu ya hizo Kodi na ukihoji unaonekana snitch mnaanza kutafutana, Kila siku CAG analeta madudu yanayofanyika huko hakuna solution Wala ufafanuzi wowote unaotolewa, kama mlipa Kodi lanzma hili likuume, tunafanya kazi Kwa jasho na damu kuwafanya watawala waishi kama peponi.
 
Hili swala la kulipa Kodi mtandaoni halijakaa Sawa kabisa.

Mimi nilipie tangazo la biashara yangu wakati kwenye hiyo Hela ya kulipa mnachukuwa Kodi yenu.

Mimi ninunue MB kuingia mtandaoni wakati mnachukuwa Kodi kwenye kampuni husika kutokana na MB nilizonunua.

Mimi ninunue dakaki kwajili ya kuongea na mteja wangu wakati huo mnachukuwa Kodi kutoka Kwa mtandao husika.

Leo mnataka nilipe Kodi ya kila mwezi yaani Kwa mwaka mnapanga naingiza milion 4. Bila kufanya research yoyote.

Hivi mnaujua mtaa vizuri yaani namaanisha huku mtaani mnakujua vizuri yaani namaanisha hivi haya Maisha ya mtaani mnayajua wakuu?

Nifanye mishe mishe za mtaa ili nipate Hela ya kufungua duka ambalo mtakuja kudai Kodi zenu.

Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Kodi ya pango la nyumba ambayo mnachukuwa Kodi yenu kila mwaka ya jengo.

Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Hela ya Ada Kwa madogo ambayo mnachukuwa Kodi kwenye hizo shule.

Nifanye mishe mishe nipate nauli nauli ye kwenda kuonana Na mteja nauli ambayo italipa Kodi ya Chombo cha Moto ninachopanda Kwa usafiri.

Leo hii mmeamua kukaa Meza moja na kuona hili swala la Hawa wanyonge lazima liende Tu.

Niseme ukweli Tu hili Jambo ni letu Sisi wanaume ndio ambalo limetulenga mana kila kitu ni chetu sisi hapa duniani na HII DUNIA HAINA HURUMA KWA MWANAUME HATA KIDOGO.

Okay tumelipokea hili jambo lenu lakini hii mtalipa Kwa namna yoyote.Siku moja mmoja wenu atakapoachishwa Kazi ndio ataelewa nini maana ya MTAA.

#KIDUMUCHAMATAWALA.

#FidQsiriyamtungi
Viongozi wote wenye mishahara ya juu wakatwe kodi kwa asilimia 50... Ndio dawa ya watu waliovimbiwa !
 
Mkuu;
Pole sana kwa dhahama.Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi.
Iko hivi swala la kodi kwa wanaouza mtandaoni lina sura nyingi.

Kuna watu ambao wana entities ambazo zipo zinafanya biashara kwenye physical locations and goods na wanatumia online kama channel ya mauzo.hawa tayari wanalipa kodi na TRA hawana shida nao kwa sasa.

Pili kuna watu ambao wanakuja kwenye duka la mtu wa Jumla wanapiga picha bidhaa na kuzitangaza mtandaoni.Wao wanawekeza kwenye kutangaza.Kisha mteja akihitaji analipa wanaenda wananua kwa yule muuzaji na kisha wanampelekea mteja ambaye hawampi risiti wala nini bali wanakula tu faida yao yote.Kule wanakonunua hawadai risiti na wanakouza hawatoi risiti.Hawa TRA inataka ipate Pesa yao.

Kuna ale ambao mapato yao kwa maana ya bidhaa na huduma ni virtual kabisa yaani hawanunua kitu ila wanauza kitu fulani(Usiniulize ni nini wanauza) ila wanapata mapato kwa njia ya Mtandao na wanajitangaza mtandaoni na wanalipwa kwa njia ya Mtandao.Hawa nao ni walengwa wa TRA.

Sasa TRA wanataka ufanyeje?

Nenda TRA online Jisajili upate TIN ya Biashara,Kisha ainisha aina yako ya Biashara kwamba ni ya ONLINE.Kisha Jipatie Mfumo wa kutoa risiti kwa njia ya MTANDAO VFD.Mteja wako akinunua mtolee Risiti.Mtumie Mzigo wake Jitangaze kwa Uhuru,Jilipe Mshahara kwa UHURU.na TRA hawatakusumbua mpaka Utakapoanza kumake ONLINE na kuwa Brand kubwa.

Kitu TRA wanataka ni KODI.

Iwapo unahitaji Msaada na uongozi zaidi namna ya kusetup VIRTUAL BUSINESS basi wasiliana nasi kwa email masokotz@yahoo.com au simu namba 0715323060.

nakutakia kila la heri.
mkuu bado kabisa hujanishawishi hili Jambo.

Elimu Elimu Elimu.
 
Hili swala la kulipa Kodi mtandaoni halijakaa Sawa kabisa.

Mimi nilipie tangazo la biashara yangu wakati kwenye hiyo Hela ya kulipa mnachukuwa Kodi yenu.

Mimi ninunue MB kuingia mtandaoni wakati mnachukuwa Kodi kwenye kampuni husika kutokana na MB nilizonunua.

Mimi ninunue dakaki kwajili ya kuongea na mteja wangu wakati huo mnachukuwa Kodi kutoka Kwa mtandao husika.

Leo mnataka nilipe Kodi ya kila mwezi yaani Kwa mwaka mnapanga naingiza milion 4. Bila kufanya research yoyote.

Hivi mnaujua mtaa vizuri yaani namaanisha huku mtaani mnakujua vizuri yaani namaanisha hivi haya Maisha ya mtaani mnayajua wakuu?

Nifanye mishe mishe za mtaa ili nipate Hela ya kufungua duka ambalo mtakuja kudai Kodi zenu.

Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Kodi ya pango la nyumba ambayo mnachukuwa Kodi yenu kila mwaka ya jengo.

Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Hela ya Ada Kwa madogo ambayo mnachukuwa Kodi kwenye hizo shule.

Nifanye mishe mishe nipate nauli nauli ye kwenda kuonana Na mteja nauli ambayo italipa Kodi ya Chombo cha Moto ninachopanda Kwa usafiri.

Leo hii mmeamua kukaa Meza moja na kuona hili swala la Hawa wanyonge lazima liende Tu.

Niseme ukweli Tu hili Jambo ni letu Sisi wanaume ndio ambalo limetulenga mana kila kitu ni chetu sisi hapa duniani na HII DUNIA HAINA HURUMA KWA MWANAUME HATA KIDOGO.

Okay tumelipokea hili jambo lenu lakini hii mtalipa Kwa namna yoyote.Siku moja mmoja wenu atakapoachishwa Kazi ndio ataelewa nini maana ya MTAA.

#KIDUMUCHAMATAWALA.

#FidQsiriyamtungi
Lipa Kodi tujenge madaraja
 
Tatizo sio Kulipa Kodi wala sidhani kama watawapata sababu kwa bongo manunuzi na kupata leads / mteja ni vitu viwili tofauti na ukisema uuze online utumie online payment na bado ulipia payment processors mwisho wa siku bei yako itakuja juu...., Issue ni hizo Kodi zinafanya nini ?!!!!!

HIVI lengo la Hawa JAMAA huwa nikuakikisha MTANZANIA ana lala njaa au VIPI nielewesheni WAKUU ni JAMBO jema SHIDA mme wahi SANA hata chapati MOJA haifungwi haraka hivo ......

Kwishaaaaa

Bro Alex on la beats yoow ................ Jah iz teally
 
Online ni majukaa ya kufanya Marketing and sales unatangaza biashara yako tu Ila kuuza unauzia Ofisini.

Hapa nazungumzia wanaotangaza bidhaa ambazo zinashikika au tangible sasa huyu ubamkataje kodi?
Wakati mzigo wake automatically umeshakatwa kodi.

pia kuna wale wanauza huduma zao ambazo ni intangible mfano walimu wa online , madaktari , wanasaikolojia , Content creators n.k

hao ndo unawaweza kuwaterm Kama wanauza online huduma zao.

Serikali ijaribu kubuni vyanzo Vya mapato Kama kubana katika madini , katika bandari , katika utalii

Kupunguza matumizi yasiyo ya lazima n.k

Tofauti na hapo wataendelea kuwachekesha walionuna maana hivi ni vituko.
 
Usipopaza sauti kuhusu katiba mpya kila mtu atafikiwa kitofauti tofauti tu. #NoReformsNoElection
 
Back
Top Bottom