kumbe kaka hujui, gari inapokua brand new FOB na CIF ndio hua kubwa but cost zingine ambazo ndo hutuua kama Import duty,engine capacity, year of manufacturer na vingine na hivi hua ghali endapo gari yako ni ya zamani sana ni ni nafuu almost 0 endapo gari yako brand new
Sio Dhuruma mkuu hayo Magari ya kununuliwa na kila mtu ni Mabovu ukiangalia Idadi ya ajari na idadi ya watu waliokufa kwa ajari za barabarani hata ungekuwa wewe ungeunga mkono yaondoshwe
Hawa jamaa wamepandisha ushuru wa kuingiza magari kumbe nao ni wizi tu. Unanunua gari mill 7 ushuru TRA unalipa mil 20. Huu ni uwendawazimu kabisa. Haiingii akilini.
Rais.Dkt.Magufuli na Mh.Majaliwa tunaomba mliangalie hili suala.Ushuru wa kingiza magari unaumiza sana watanzania na hauko rafiki wakati wafanyabiashara wakubwa wanasamehewa na kukwepa ushuru wa mabilion.
Ieleweke kuwa gari si anasa bali ni nyenzo muhimu kwa maendeleo.
Mkuu hii ni shida nyingine, baada ya Waziri mkuu kuwavamia hawa maBw, usilogwe upitishe kakontena kako hata kenye viberiti ndani, hawa jamaa wa TRA wanataka sifa sasa, unapigwa hata 30M, hutaki cha moto utakiona na hakuna ku appeal popote
Khaa!! Labda atakuwa analitumia mwisho namanga 😎Kwani ukipitisha Mombasa hutalipia ushuru?
Tatizo mnanunua magari yaliyo 'hoza' sasa!!!
Nchi zote tunatumia Act moja ya kodi kwa afrika mashariki,hivyo kama unakuja Tanzania ni hivyo hivyo tu.
Na ukiagiza gari jipya gharama za ununuzi wa huko ni kubwa ila hapa kwetu ushuru na kodi unakuwa chini,sasa kama unataka kuikomoa serikali agiza gari jiPya.
Mbona yanawezekana tu kununua gari jipya kwani kitambo kile Tanganyika na zanzibar kulikuwa na Magari mapya tu... hii Used ni kuanzia miaka ya 80s juu kwenda 90s kulikuwa na Magari Mapya tu Land Rover Peugeot renault, Scania, Benz kubwa Bedford,Fiat, Nissan Dutsun, Toyota Hilux, Suzuki, Leyland na Nadhani Nyerere alikuwa hapendi Mitumba.. na watu waliweza kununua mbona why now washindwe?
Fanyeni Kazi sana kila kitu kinawezekana... Kulima, Biashara n.k inawezekana
Mkuu Mlaleo katika aina ya magari uliyoyataja ambayo yalikuwa yanaletwa mapya nilikuwa natafuta jina la aina moja ya gari nilisahau sasa nimekumbuka ni SIMCA!!!