IUmeambiwa ni karibu wafanyabiashara wote wa kariakoo wanafanya hivyo.Unataka aache akanunue wapi.Kwa hali ilivyo,inabidi TRA wafuatilie.
TRA wanashirikiana na watu wa kariakoo kukwepa kodi Rais tunaomba uingilie kati
Hii si Kariakoo tu, bali pia Tazara, buguruni, vingunguti, Ubungo na maeneo mengine mbalimbali.Hahahaaaa huoo ujinga awafanyi tra
We unatoanlaki unapewa rst ya hamsini unaondoka nayo TRA aje kukusaidia hapana ....Mkuu watake radhi na kichwa chako cha habari n kuwazalilisha tra...
Kama hutaki unaacha siolazima ununue hamia kwingine ndio uzuri wa krkoo
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaNi mpaka mkuu wa nchi aingilie kati,la hakuna kitakachofanyika
aaa wish ungejuaaa wanafwatilia kuliko unavyohisi...huoo n uamuzi wa mnunuzinna muuzaJi wapeww nafasiiUmeambiwa ni karibu wafanyabiashara wote wa kariakoo wanafanya hivyo.Unataka aache akanunue wapi.Kwa hali ilivyo,inabidi TRA wafuatilie.
Kwa hayo uliyomention.. Mtumishi wa serikali anakwepea wapi.. Mnataka watumishi tuendeshe nchi nyie mpige ela tu.. Eti eeeh.. Kwa tozo zote hapo hazifikii kodi anayokatwa mtumishi kila mwezi mwenye mshahara wa milioni moja.Kodi ya mapato. Kodi ya pango. Kodi ya taka. Withholding tax. City service levy. Kodi ya Leseni. Kwa kodi hizi kweli mfanyabiashara huo uzalendo anautoa wapi? Msizungumze tu mambo msiyoyajua. Kodi zimekuwa nyingi mno mpaka MTU unachanganyikiwa. Nabado hapo kama una nyumba utadaiwa property tax. Kodi ya ardhi. Nabado kama una gari watakuuliza road license, sasa jamani, Mimi mfanyabiashara hiyo hela natoa wapi? Hii nchi INA kodi mpaka inakatisha tamaa kwakweli
Kwa hayo uliyomention.. Mtumishi wa serikali anakwepea wapi.. Mnataka watumishi tuendeshe nchi nyie mpige ela tu.. Eti eeeh.. Kwa tozobxote hapo hazifikii kodi anayokatwa mtumishi mwenye mshahara wa milioni moja.Kodi ya mapato. Kodi ya pango. Kodi ya taka. Withholding tax. City service levy. Kodi ya Leseni. Kwa kodi hizi kweli mfanyabiashara huo uzalendo anautoa wapi? Msizungumze tu mambo msiyoyajua. Kodi zimekuwa nyingi mno mpaka MTU unachanganyikiwa. Nabado hapo kama una nyumba utadaiwa property tax. Kodi ya ardhi. Nabado kama una gari watakuuliza road license, sasa jamani, Mimi mfanyabiashara hiyo hela natoa wapi? Hii nchi INA kodi mpaka inakatisha tamaa kwakweli
TRA, TRA.... TRA..Hahaha
aaa wish ungejuaaa wanafwatilia kuliko unavyohisi...huoo n uamuzi wa mnunuzinna muuzaJi wapeww nafasii
Juat for info even southafrica wanafanya hivyo..nani ataki punguzo loh