Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,144
- 4,493
Mimi ni mnunuzi bidhaa mbalimbali hapo kariakoo ukweli ni kwamba asilimia 90 ya wafanyabiara hawatoi risiti halali yani ukinunua mzigo wa mil 1 unapewa risiti ya laki 5 wafanyabiasha wa wahindi wao watakuomba wakutolee risiti ya laki 7 wanaouza bidhaa bila risiti ni asilimia 1 wanaotoa risiti halali kila bidhaa ni wachache sana yani kwenye mtaa mzima utakuta anayetoa risiti halali ni mhindi mmoja tu na ndio hawa wafanyabiashara wote wanamtegemea kupata bidhaa
ipo hivyo nilikuja kufuatilia nikaja kugundua hawa wanachokwepa ni hiyo kodi ya vat wanachohofia bidhaa wakipandisha bei itaathiri wateja na watakimbia
Tukija upande TRA wao wapo kinazalia zaidi wao wanaamini wakimuongezea kodi mfanyabiashara wa hapo kariakoo wanaamini mzigo wote ataubeba mtumiaji wa mwisho
Ukisikiliza malalamiko ya wafanyabiashara wanataka kodi iwe chini zaidi ili kuvutia wafanyabiashara wanaotoka nje ya nchi kuja kwa wingi na ndio sababu hawataki kuwapoteza wateja unakutana na mfanyabiashara anakuambia bei na risiti halali bei hii na bei bila bila risiti halali bei ni hii
Not Sio rahisi kwa serikali kukubali kodi ya vat ishuke nchi hii huu mgogoro kuna uwezekano mkubwa kuendelea siku zijazo pamoja na majadiliano yaliyofanyika leo