TRA mnahusika na wizi huu wa wafanyabiashara Kariakoo?

Col FEN

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
327
500
Tatitizo siyo TRA tatizo ni letu wenyewe kwa kupenda mteremko. Utatoaje laki 8 halafu upewe risiti ya 35,000/= ukabali kuondoka ???
 
cerengeti

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,876
2,000
Umeambiwa ni karibu wafanyabiashara wote wa kariakoo wanafanya hivyo.Unataka aache akanunue wapi.Kwa hali ilivyo,inabidi TRA wafuatilie.
I
TRA wanashirikiana na watu wa kariakoo kukwepa kodi Rais tunaomba uingilie kati

Hahahaaaa huoo ujinga awafanyi tra

We unatoanlaki unapewa rst ya hamsini unaondoka nayo TRA aje kukusaidia hapana ....Mkuu watake radhi na kichwa chako cha habari n kuwazalilisha tra...

Kama hutaki unaacha siolazima ununue hamia kwingine ndio uzuri wa krkoo
Hii si Kariakoo tu, bali pia Tazara, buguruni, vingunguti, Ubungo na maeneo mengine mbalimbali.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,038
2,000
8mpeni pumzi mkuu wetu jamani sio kilakitu afanye yeye anaitaji kuupumzika..we kama hutaki awakulazimishi kununua sion mantiki ya kelele humu
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,038
2,000
Hahaha
Umeambiwa ni karibu wafanyabiashara wote wa kariakoo wanafanya hivyo.Unataka aache akanunue wapi.Kwa hali ilivyo,inabidi TRA wafuatilie.
aaa wish ungejuaaa wanafwatilia kuliko unavyohisi...huoo n uamuzi wa mnunuzinna muuzaJi wapeww nafasii

Juat for info even southafrica wanafanya hivyo..nani ataki punguzo loh
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,101
2,000
Kodi ya mapato. Kodi ya pango. Kodi ya taka. Withholding tax. City service levy. Kodi ya Leseni. Kwa kodi hizi kweli mfanyabiashara huo uzalendo anautoa wapi? Msizungumze tu mambo msiyoyajua. Kodi zimekuwa nyingi mno mpaka MTU unachanganyikiwa. Nabado hapo kama una nyumba utadaiwa property tax. Kodi ya ardhi. Nabado kama una gari watakuuliza road license, sasa jamani, Mimi mfanyabiashara hiyo hela natoa wapi? Hii nchi INA kodi mpaka inakatisha tamaa kwakweli
Kwa hayo uliyomention.. Mtumishi wa serikali anakwepea wapi.. Mnataka watumishi tuendeshe nchi nyie mpige ela tu.. Eti eeeh.. Kwa tozo zote hapo hazifikii kodi anayokatwa mtumishi kila mwezi mwenye mshahara wa milioni moja.
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,101
2,000
Kodi ya mapato. Kodi ya pango. Kodi ya taka. Withholding tax. City service levy. Kodi ya Leseni. Kwa kodi hizi kweli mfanyabiashara huo uzalendo anautoa wapi? Msizungumze tu mambo msiyoyajua. Kodi zimekuwa nyingi mno mpaka MTU unachanganyikiwa. Nabado hapo kama una nyumba utadaiwa property tax. Kodi ya ardhi. Nabado kama una gari watakuuliza road license, sasa jamani, Mimi mfanyabiashara hiyo hela natoa wapi? Hii nchi INA kodi mpaka inakatisha tamaa kwakweli
Kwa hayo uliyomention.. Mtumishi wa serikali anakwepea wapi.. Mnataka watumishi tuendeshe nchi nyie mpige ela tu.. Eti eeeh.. Kwa tozobxote hapo hazifikii kodi anayokatwa mtumishi mwenye mshahara wa milioni moja.
 
Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,709
2,000
Acheni ukuda... hayo ni nyie ndio huwa mnataka wenyewe... mkitajiwa bei mnaanza kutaka punguzo mbona supermarket hamuombi punguzo?
 
getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,148
2,000
Hahaha

aaa wish ungejuaaa wanafwatilia kuliko unavyohisi...huoo n uamuzi wa mnunuzinna muuzaJi wapeww nafasii

Juat for info even southafrica wanafanya hivyo..nani ataki punguzo loh
TRA, TRA.... TRA..
huu uzi ulishawahi kuwepo hapa ndani ina maana hawasomi? Ama hakuna kitengo cha intelgensia pale TRA.. hii ni taarifa ambayo mwananchi anatoa bado haifanyiwi kazi mnataka taarifa ya namna gani ili hili jambo liwe na maana kwenu?
Awali niliwahi sema kuwa huenda huu ni mkakati kwa wafanya biashara wote wa kariakoo duka lolote itakaloenda watafanya hivyohivyo.. na risiti zao sio zaidi ya 40,000 hasa kwa mashine za EFD.
hebu fikiri mimi ninayekuletea nimekatwa kodi kibao kwenye hiyo pesa ninayoileta hapo dukani halafu wewe unakwepa kodi kirahisi tu.. na unataraji nikiangalie na kukichekea.
kama TRA, hawawajibiki kwa hili ina maana kwa namna moja ama nyingine wao pia wana maslahi katika hili
hatuwezi kushindwa kuwatuhumu kuwa wana maduka kariakoo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom