TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

Elimu itolewe kwa wafanyabiashara na wanunuzi, TRA iwe wazi kuainisha faida ya kuomba na kutoa risiti kwa haya makundi mawili badala ya kutoa vitisho n.k huku taarifa wamezikalia.

Mfano taarifa za kuwa mfanyabiashara anaweza kudai marejesho yatokanayo na credit ya VAT iliyozidi haipo wazi, na njia ya kurudishiwa ni ngumu mno na inachukuwa muda mrefu, wakati wao wanataka ukisha file return hapo hapo ulipe...ili mifumo yao ifanye kazi vizuri lazima kila mmoja anyooke haiwezekani mfanyabiashara anyooke halafu TRA wana kona kona nyingi unapotaka kudai vya kwako.
 
Wengi wa wafanyabiashara hufanya hivyo.
 
Wengi wa wafanyabiashara hufanya hivyo.
Ndk michezo ya kariakoo...
tena wengine hata wakiuza bei juu bado risiti wanakuandikia ya pungufu na hela uliyotoa. Mteja yeye anachagua option ya nafuu kwake maana hayo mapato yakifika serikalini wanaoyafaidi direct ni wachache mno.
 
Hii nimeulizia jana kariakoo wamembia 25000 au walitaka kunipiga
🀣🀣🀣🀣
Labda waliiba mahali. Me menunua dukani bei ni hiyo. Au labda walikuonesha ile ya hema maana hii ina mfuko wake maalumu na vyuma vyake vya kufungia.
 
Ndk michezo ya kariakoo...
tena wengine hata wakiuza bei juu bado risiti wanakuandikia ya pungufu na hela uliyotoa. Mteja yeye anachagua option ya nafuu kwake maana hayo mapato yakifika serikalini wanaoyafaidi direct ni wachache mno.
Hivi wale wafanyakazi wanao fatilia risiti kariakoo wapo serious kweli na kazi kodi zetu zinalipwa kwa watu ambao hawako makini na kazi
 
🀣🀣🀣🀣
Labda waliiba mahali. Me menunua dukani bei ni hiyo. Au labda walikuonesha ile ya hema maana hii ina mfuko wake maalumu na vyuma vyake vya kufungia.
Ni hii
 
Hivi wale wafanyakazi wanao fatilia risiti kariakoo wapo serious kweli na kazi kodi zetu zinalipwa kwa watu ambao hawako makini na kazi
Wakiwa serious bei zitapanda mno hatutaweza nunua. Si unajua ishu ta tax incidence ambapo mzigo wa kufidia gharama anahamishiwa mteja??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…