TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

TRA, Hii ni Aibu kwa Taifa

Ndio maana watu wanabuni njia za ukwepaji kodi na ushuru. Yaani mtengenezaji wa tv pamoja na ubunifu wake wote anauza tv bei chee halafu inatokea mijitu inataka ushuru mara mbili na zaidi ya bei ya kiwandani.
 
Wanaongeza wido wa walipa kodi

Kabisa.Hebu fikiria kuna mtanzania kaka miaka marekani hajawahi lipa kodi Tanzania hata shilingi mia.Kodi zote analipa wamarekani.Sasa siku akija anakuja na masanduku ya nguo makubwa aje auzie machinga dar anasingizia zawadi!!!!! Ukimdai kodi anawaka.Kodi ni ya kila mtanzania wa ndani na wa nje ya nchi haibagui.Huyu wa nje ni kumsubiria Airport akiingia na masanduku yake ya kuua mtu yaliyosheni chupi 100 za zawadi ,sidiria 500 za zawadi nk
 
Ndio maana watu wanabuni njia za ukwepaji kodi na ushuru. Yaani mtengenezaji wa tv pamoja na ubunifu wake wote anauza tv bei chee halafu inatokea mijitu inataka ushuru mara mbili na zaidi ya bei ya kiwandani.
Zawadi toka ulaya china marekani nk kwa sasa ni Sumu kwa mtoa Zawadi ukifika nayo Airport unajuta unagundua ni bora ungekuja na pesa ununue Tv kkoo maana hiyo ya nje inspigwa ushuru wa kutisha sasa,Uchoya wa zawadii umeshika kasi sasa
 
Kabisa.Hebu fikiria kuna mtanzania kaka miaka marekani hajawahi lipa kodi Tanzania hata shilingi mia.Kodi zote analipa wamarekani.Sasa siku akija anakuja na masanduku ya nguo makubwa aje auzie machinga dar anasingizia zawadi!!!!! Ukimdai kodi anawaka.Kodi ni ya kila mtanzania wa ndani na wa nje ya nchi haibagui.Huyu wa nje ni kumsubiria Airport akiingia na masanduku yake ya kuua mtu yaliyosheni chupi 100 za zawadi ,sidiria 500 za zawadi nk

Hivi wewe hauna hata aibu? Huyo Dada kwenye video kabeba nini? Aisee nyie ndio wale roho mbaya vinuka makwapa. Njaa mbaya

Waambie TRA wakakusanye kodi GSM..
 
Kabisa.Hebu fikiria kuna mtanzania kaka miaka marekani hajawahi lipa kodi Tanzania hata shilingi mia.Kodi zote analipa wamarekani.Sasa siku akija anakuja na masanduku ya nguo makubwa aje auzie machinga dar anasingizia zawadi!!!!! Ukimdai kodi anawaka.Kodi ni ya kila mtanzania wa ndani na wa nje ya nchi haibagui.Huyu wa nje ni kumsubiria Airport akiingia na masanduku yake ya kuua mtu yaliyosheni chupi 100 za zawadi ,sidiria 500 za zawadi nk
Umekariri kuwa watu walikuwa wanaishi marekani miaka na miaka?...Acha umbumbumbu!
 
Hii sasa imetosha na ni aibu kwa taifa. TRA inavuka mipaka ya ubinadamu. Hii ni pale uwanja wa Ndege wa JKNIA . Shame on you. Watu wanalia Airport, yaani wanafikia hatua ya kuvuruga nguo za watu hivi wanatafuta vitu vya kutoza ushuru. Shame on you

Last week, katika issue tofauti kabisa, rafiki yangu alinunua used small 27inch LG TV Kwa $90 Singapore . Alipofika walimmbambikizia ushuru wa laki mbili. Alishindwa na kuwaachia TRA.......Kipindi cha kikwete TRA walikuwa na aibu. Hawa hawana. Pathetic animals

You should focus on businesses and drugs. Stop harassing travelers

Kwa kweli TRA/Custom officers pale airport ni watu wa ajabu sana!!

Eti msaidiane kama wanawake wote; rushwa inaongelewa kwa mafumbo...

Udhalilishaji wa hali ya juu...
 
...wanataka kuigeuza hii nchi kuwa north korea!!..dirty animals indeed....hamna cha kodi wala nini hapo..yanatafuta rushwa tu...kama mi traffic inavyofanya barabarani kwenye magari...hii nchi watu wana roho mbaya sana....ndio maana hatuendelei....
 
ni vita kila mahali,singida na igunga kuna traffic wanavaa hadi kimasai wanakaa juu ya miti na tochi wanategea magari na yakienda speidi ndogo huwa wanalaalamika
 
ukishakuwanna roho ya wivu na kimasikini ndo inakuwa hivyo...
 
Inabidi sasa waweke matangazo online kwenye web page yao watuambie the "DOs and DONTs" kwa abiria wote wanaoingia kutoka nje ya Nchi ili nijue kabisa kama nimenunua boxer zangu 5 za kuvaa mwenyewe, kodi yake inakuwaje
 
Zawadi toka ulaya china marekani nk kwa sasa ni Sumu kwa mtoa Zawadi ukifika nayo Airport unajuta unagundua ni bora ungekuja na pesa ununue Tv kkoo maana hiyo ya nje inspigwa ushuru wa kutisha sasa,Uchoya wa zawadii umeshika kasi sasa
TRA ya ccm inatoza kodi kubwa kuliko hata gharama ya bidhaa kutokea kiwandani pamoja na shipping.
 
Halafu wewe mleta maada mkenya NAIROBIAN nilishakuonya mara nyingi hili ni jukwaa la watanzania.Si uende kwenu kenya mkaongelee mambo yenu ya ukabila yasiyoisha.
Kosa lake ni Ukenya wake ama ni kuongea kwake ukweli?
 
leten sheria ya kodi kwa vitu gan hasa vya biashara au kutumia home
Wametumwa pesa. Awamu hii wanafanya kazi kwa sifa kwasbb wamepewa kibali na malaika mkuu kwahiyo kazi kwetu.
 
Wametumwa pesa. Awamu hii wanafanya kazi kwa sifa kwasbb wamepewa kibali na malaika mkuu kwahiyo kazi kwetu.
Ni kweli wametumwa pesa kwa ajili ya Lipumba kwani sasa ndiyo mjanja wao huko CCM pesa za viwanda na mapato kule Hazina zote anagawiwa pande kwa ajili ya kuzitumia kuua CUF na kudhoofisha Ukawa,cha kufanya ni watanzania wanaopita Airport kuacha kuja na Zawadi wala kufanya shopping huko Ulaya na America wawe wachoyo kwa mda ndugu watawaelewa tu maana watanzania wengi ni waelewa wanajua Usumbufu uliopo Airport.
 
Back
Top Bottom