Chimpumu ni aina ya PombeChimpumu ndo nani
Kodi yenyewe pesa zote anapelekewa Lipumba azitumie kwenye kuua CUF ni bora pesa ingekuwa inakusanywa na kujenga viwanda na maendeleo kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa na Dsm na pwani kule Bagamoyo ingejengwa Hosptal kubwa kama Apolo waajiriwe madaktari toka India wagonjwa wote wa Africa waje kutibiwa kama ilivyokuwa South Africa.TRA ya ccm inatoza kodi kubwa kuliko hata gharama ya bidhaa kutokea kiwandani pamoja na shipping.
Vipi kama ulienda nayo huko ulikoenda na kurudi nayo?
How do they figure that?
Nani ajenge hospitali kwa ajili ya maskini wakati wao wakiumwa wanaenda kutibiwa nje ya nchi?Kodi yenyewe pesa zote anapelekewa Lipumba azitumie kwenye kuua CUF ni bora pesa ingekuwa inakusanywa na kujenga viwanda na maendeleo kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa na Dsm na pwani kule Bagamoyo ingejengwa Hosptal kubwa kama Apolo waajiriwe madaktari toka India wagonjwa wote wa Africa waje kutibiwa kama ilivyokuwa South Africa.
You guys are u talking the truth.....?coz this is really to ma lovely country....!The other time I had a MacBook, they opened it, and forced me to pay laki 2 Kwa sababu nilinunua nje ya nchi
I would they know that?They said it was new. True I bought it out of the country but had used it three or four times,
Hivi wewe hauna hata aibu? Huyo Dada kwenye video kabeba nini? Aisee nyie ndio wale roho mbaya vinuka makwapa. Njaa mbaya
Waambie TRA wakakusanye kodi GSM..
Nasikia wana forge data kwenye makusanyo ya mweziHii ndio serikali ya mwendo kasi bana
Wamezidi hawa malofaHii ndio serikali ya mwendo kasi bana
Wanatupeleka kama yaniWamezidi hawa malofa
MkuuVipi kama ulienda nayo huko ulikoenda na kurudi nayo?
How do they figure that?