TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

Waliniambia risiti mpaka pesa ipelekwe Bank ionekane ndio wanaprocess order,na kwa sababu nilikua na haraka na vile jamaa zangu wengine wanafanya nao biashara sikuwa na wasiwasi wowote.
Ajali kazini, potezea,usingedakwa usingekuja toa uzi
 
Hayana warantii
Mtu wao wa sales alinidanganya wanatoa warranty ya mwaka mmoja,yalivyopasuka nikamjulisha lakini na yeye hana customer care nzuri anamjibu mteja kama wana ugomvi,baada ya kumbana sana kuwa nitampeleka polisi ndio akanielekeza niyarudishe pale kwenye kaofisi kao mikocheni.ndio nikalikuta hilo limeneja lao,wacha linijibu utumbo.lile lijamaa nina wasiwasi hata na uraia wake.kama sio likenya basi ni jitu la Burundi huko.
 
1.kampuni yenu mnalipa kodi stahiki kwa serikali?
2.hiyo michezo ya kutotoa risiti mnaifanya au hamuifanyi?
3.matairi yenu ni feki au sio feki?
4.Mmiliki wa hiyo kampuni ni nani?
5.Huyo Sylvester katambi mlimuajiri vipi hapo?
6.Mko tayari kufanyiwa special auditing na TRA?
 
Risiti ya malipo ndo ikoje?
Ulipaswa kupewa risiti ya efd utoe copy uwaachie og ije na mzigo.
Ila Mimi ningekula nao sahani moja. Hadi kieleweke ikishindikana naenda kwa wazee.
 
Toka lini mchina akaajiri professional,wao ukijua kuongea tu,wanataka wa kumpa mshahara mbuzi.
 
Hii kampuni naifahamu ipo mikocheni karibia na hekima garden.na ni kweli huwa hawatoi risiti kwa baadhi ya wateja wao.kuna kipindi tulikua wateja wao wazuri tu wa matairi ya kapsen na Goodtyre.sema matairi yao hayana quality nzuri.unanunua tairi leo halafu week ijayo tayari tairi limepasuka.ukiwarudishia huyo meneja wao anaitwa Sylvester Katambi anaweza kukutukana.
Mbinu wanazotumia ni wanakupa mzigo kwa bei ya chini kidogo halafu hawakupi risiti.ukikamatwa utajijua mwenyewe huko maana wenyewe hawakupi hata delivery note.huyo meneja wao mwenyewe njaa balaa anakuuzia kwa style hiyo halafu huku nyuma anakupigia anakuomba hela ya maji ya kunywa.
Sema TRA nao wamelala sana,maana mbinu za kuwakamata hawa ni simple tu kama wakiamua.
Naunga mkono hoja TRA na TBS wawafuatilie hawa watu.
 
Mkuu,jitafakarini kwa nini nyinyi tu?
Kuna wenzenu mmewakuta kwenye hii biashara lakini hatujawahi kusikia wakilalamikiwa.huenda pia hamna mahusiano mazuri na ama wateja wenu au wafanyakazi wenu hivyo wanalikisha taarifa kwa maadui zenu ambao mwisho wa siku wanawaharibia.na usiombe tra wakuandame unaweza kukimbia nchi.
 
Kweli kabisa,matairi yao sijui yana tatizo gani.sisi mpaka tuliamua kuwahama maana kila week ilikua ni kununua matairi.
Kuna matairi mengine ya kichina mfano linglong,goodride na blacklion ubora umezingatiwa kwa kweli.
 

Plus cohesive instrument zingine, ni uhalifu kabisa huu!
 
Wewe ni taahira, kilichokufanya uache wauzaji wote wa bei halisi ni kipi hadi ukaenda kununua hapo kwa bei rahisi mno?! We unafikiri huo urahisi wa bei unatokana na nini?
 
haya makampuni ya kichina yana janjajanja nyingi sana na hapa TRA & TBS nao hawafanyi kazi swsw kuwafatilia hawa wajizi. Najua kuna wengine wanaitwa herocean wanauza mabati ya kuezeka nyumba ya dragon nao hawatoi risiti japo mteja utawalipa ela yote wanayoitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…