Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,347
- 8,250
Wapigaji wengi apo kila mwenye kitengo na ile hundi kwa serikali wao ni kula tu we mtu anawezaje kujikopesha ma trioni ya pesa kwa nchi yaani bajet ya serikali kwer😂😂
Weeeeeh hivi kwerSaizi kuna tozo ya cement
Mawakala tushaaibika kitambo 😂😂Alaaaaa
Sasa si wangetuambia kuwa tumerejesha tozo kwa maana kuna watu wanaweza kuwaona mawakala wezi
Tena walikuwa wanasema wazi kuwa...airtel inakulipia tozo😂Alaaaaa
Sasa si wangetuambia kuwa tumerejesha tozo kwa maana kuna watu wanaweza kuwaona mawakala wezi
Mbavu zangubmie jmn😂Tena walikuwa wanasema wazi kuwa...airtel inakulipia tozo😂
Shida inaanzia hapo, hata mkusanye vipi kopa kopa huko haziishi mpaka wanajitoa utu .Tozo si tatizo kubwa, tatizo kubwa wanazitumia wapi?
Hata mimi limenikuta leo juzi nimemtumia mtu kweli hakuna tozo ila leo mtu kanitumia number ya kutolewa nashtuka nimekatwa ila sijui lengo ni nini watu wasitumie cash ila hawa mawakala sasa wataumia sana pesa tutazizungusha kwenye simu tu.Naomba tuweke vizuri
Tozo zilizofutwa ni P2P, yaani pale unapomtumia fedha mwingine kwa njia ya simu, lakini kwenye Cashout/Kutoa Tozo bado zipo palepale.
Hivyo wanaotutumia vipeperushi sijui tozo zote zimefutwa, waache upotoshaji.
Watanzania tushajulikana tuna akili za kiwachu ndio maana watu wanajipigia mahela wananchi tunazidi taabikaShida inaanzia hapo, hata mkusanye vipi kopa kopa huko haziishi mpaka wanajitoa utu .
Nchi hii hakuna regulation ya matangazo wana danganya wateja sana haya makambuni mengi hata banks utasikia wanatumia nguvu na pesa kutangaza huduma bora lakini nenda utadhani mteja ndio anaomba, kwa ukweli Tz kwenye customer care zeroooooMbavu zangubmie jmn😂
Ushauri wako wataka kusemaje chiefFEDHA ZA DHURUMA.
HAZIWEZI kufanya Jambo lolote la maana la kimaendeleo.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache dhuluma! Hakuna pesa ila laana kali kama pesa aliyodhulumiwa maskiniUshauri wako wataka kusemaje chief
Haya mmbo haitatokea mwingine wakuya piga vita isipokua sisi watanzania wenyewe kukemea vikali kufungua akili zetu nakutopelekwapelekwa tuNchi hii hakuna regulation ya matangazo wana danganya wateja sana haya makambuni mengi hata banks utasikia wanatumia nguvu na pesa kutangaza huduma bora lakini nenda utadhani mteja ndio anaomba, kwa ukweli Tz kwenye customer care zerooooo
Tupo kama moto wa mabua tunawaka kwa haraka kisha unazima hata jivu lake halionekani, eee Mungu tuponye, inabidi tuanze kuombea fahamu zetu pamoja na akili .Watanzania tushajulikana tuna akili za kiwachu ndio maana watu wanajipigia mahela wananchi tunazidi taabika
🙏🙏🙏Tupo kama moto wa mabua tunawaka kwa haraka kisha unazima hata jivu lake halionekani, eee Mungu tuponye, inabidi tuanze kuombea fahamu zetu pamoja na akili .
Watu wananung'unika maana inakatwa kwa lazima halafu hata kinachofanyika hatukioni na wala hatuji inapatika shiling ngapi !FEDHA ZA DHURUMA.
HAZIWEZI kufanya Jambo lolote la maana la kimaendeleo.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi wanauza nchiShida inaanzia hapo, hata mkusanye vipi kopa kopa huko haziishi mpaka wanajitoa utu .
Naomba tuweke vizuri
Tozo zilizofutwa ni P2P, yaani pale unapomtumia fedha mwingine kwa njia ya simu, lakini kwenye Cashout/Kutoa Tozo bado zipo palepale.
Hivyo wanaotutumia vipeperushi sijui tozo zote zimefutwa, waache upotoshaji.
Halafu wao wanapakumbilia sie wengine ukitoka Dar unaishia Tanga au mtwara umemaliza, sasa wao wanamakazi huko na akiba kibao , lakini Mungu yupo iko siku atakapo waporomoshea mawe na kumezwa kama wana wa kora.Hadi wanauza nchi