Tozo miamala ya simu hazijafutwa, tuache upotoshaji

Halafu wao wanapakumbilia sie wengine ukitoka Dar unaishia Tanga au mtwara umemaliza, sasa wao wanamakazi huko na akiba kibao , lakini Mungu yupo iko siku atakapo waporomoshea mawe na kumezwa kama wana wa kora.
Viongozi na watawala wetu wanajua kwa vile tu waoga na wapole hatuwezi kuwafanya lolote.

Mwinyi amepambana kupitia JPM mwanae kashikilia urais.

Namuona na Msoga polepole anamuandaa prince.

Wanajiamini kuwa wao ni waamuzi wa mwisho...ok huenda ndivyo but...

Tunawashitakia kwa Mungu atutetee tu
 
Serikali imejua kucheza na akili zetu. Wameondoa tozo za kutuma miamala wakati kilio kikubwa cha wananchi kilikuwa kwenye tozo za kutoa miamala (ambazo bado zipo) Huu ni usanii. Ndomana siku ile nasikia tamko la waziri wa mawasiliano sikutia neno, nilijipa muda nione yaliyomo maana serikali yetu tunaijua. Kwa mwendo huu wananchi tutazidi kupoteza imani na serikali maana ni utoto kutuaminisha jambo ambalo halipo.
 
Hii ni serikali ama ni kikundi flani tu hv cha wahuni.

Siwaelewagi hawa
 
Naomba tuweke vizuri

Tozo zilizofutwa ni P2P, yaani pale unapomtumia fedha mwingine kwa njia ya simu, lakini kwenye Cashout/Kutoa Tozo bado zipo palepale.

Hivyo wanaotutumia vipeperushi sijui tozo zote zimefutwa, waache upotoshaji.
Ni ulaghai wa CCM tu wala hakuna lolote
 
Serikali imejua kucheza na akili zetu. Wameondoa tozo za kutuma miamala wakati kilio kikubwa cha wananchi kilikuwa kwenye tozo za kutoa miamala (ambazo bado zipo) Huu ni usanii. Ndomana siku ile nasikia tamko la waziri wa mawasiliano sikutia neno, nilijipa muda nione yaliyomo maana serikali yetu tunaijua. Kwa mwendo huu wananchi tutazidi kupoteza imani na serikali maana ni utoto kutuaminisha jambo ambalo halipo.
Tozo ipo hata mie July mosi nimefanya muamala tozo ipo, machozi ya Watanzania yatawatiririkia mpaka vizazi vyao vya nne.
 
Serikali imejua kucheza na akili zetu. Wameondoa tozo za kutuma miamala wakati kilio kikubwa cha wananchi kilikuwa kwenye tozo za kutoa miamala (ambazo bado zipo) Huu ni usanii. Ndomana siku ile nasikia tamko la waziri wa mawasiliano sikutia neno, nilijipa muda nione yaliyomo maana serikali yetu tunaijua. Kwa mwendo huu wananchi tutazidi kupoteza imani na serikali maana ni utoto kutuaminisha jambo ambalo halipo.
Halafu wananipongeza..
 
MWANASIASA AKIKWAMBIA MVUA INANYESHA NJE...TOKA NENDA KAHAKIKISHE...UONE MATONE...

NILIJUA TU NDIO MAANA NILIVYOSIKIA ETI TOZO ZIMEFUTWA...SEMENI WAMEBADILI JINA...NA WASEME TOZO GANI KIASI GANI...

HII SERIKALI IFUTE HELA KWELI...LABDA IONGEZE...

NA TAARIFA YENU...TOZO ZA KUTOLEA PESA ZIMEPANDA MARA DUFU...ETI TUMEFUTA ADA ZA KUTUMA...UKIANGALIZA KWENYE KUTUMIA MAPATO NI KIDOGO KULIKO KWENYE KUTOA...KUTOA KILA MTU ANATOA...

ALAFU HILI NI SAWA NA LILE LA KUJIFANYA MAMA KAPUNGUZA FAINIA ZA BODABODA MTAANI...ALAFU MAFUTA YAKAPANDA...(unajiuliza...kipi kinatokea mara kwa mara MAKOSA BARABARANI au WEWE KUJAZA CHOMBO CHAKO MAFUTA?)
 
HIVI HUYU MAMA KUNA MTU ANAKAAGA ANAMSIKILIZA KWELI..?
 
Naomba tuweke vizuri

Tozo zilizofutwa ni P2P, yaani pale unapomtumia fedha mwingine kwa njia ya simu, lakini kwenye Cashout/Kutoa Tozo bado zipo palepale.

Hivyo wanaotutumia vipeperushi sijui tozo zote zimefutwa, waache upotoshaji.

===

JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: KWELI - Tozo za kutoa pesa kwa wakala na ATM bado hazijafutwa
Wanadanganya tu, wamehamishia gharama kwenye kutoa hela maana si wanajua wadanganyika hawako makini kumbe watu kwa sasa wako makini na wanafuatila mambo
 
Back
Top Bottom