Hiyo tozo ipo toka enzi za mwenda zake, voda wamekuwa wakitoza sh 500 kitambo tu. Tigo tu ndo wameanza sasaNdo mtajua JPM alikuwa mtetezi wenu au alikuwa anatania
[emoji23][emoji23][emoji23]Niliiona hii meseji nikacheka kwa masikitiko. Tutanywea. Kama huku ndio kuupiga mwingi basi unapigwa sio mchezo.
hapana.kwa tig ukiingia simbankng ilikua free vodwa wao ni lazm uwe na salio.kunazia sh 100 kwenda juu.sasa ht mim nimeona sms kuacess itakatwa batiUkiingia tu 100..maana kuna lile salio unatakiwa uwe nalo wakati unafanya miamala kwa sim banking..
Sasa ukiingia wanatoa 100 yao alaf nyingine inabak constant au...sielew elewi
500 kwenye nini???Hiyo tozo ipo toka enzi za mwenda zake, voda wamekuwa wakitoza sh 500 kitambo tu. Tigo tu ndo wameanza sasa
salio la kawaida500 kwenye nini???
Niliiona hii meseji nikacheka kwa masikitiko. Tutanywea. Kama huku ndio kuupiga mwingi basi unapigwa sio mchezo.
Mkuu kuna kitu kigumu unajaribu kulazimishia kwenye mioyo ya watu nashauri ungeacha tu..Ndo mtajua JPM alikuwa mtetezi wenu au alikuwa anatania
[emoji23]Mkuu kuna kitu kigumu unajaribu kulazimishia kwenye mioyo ya watu nashauri ungeacha tu..