Toyota Noah Inauzwa

Cathy Diwani

Senior Member
Feb 13, 2016
120
184
Toyota Noah New Model namba B inauzwa. Iko kwenye hali nzuri sana,haidaiwi na ina vibali vyote. Bei 10m. Nimeitumia mimi mwenyewe kama private car. Haina tatizo lolote,naiuza ili nibadilishe gari. [
20170504_094408.jpg
20160511_173852.jpg
20170504_094049.jpg
20170504_094031.jpg
20170504_094213.jpg
]512000[/ATTACH]
Pm kwa aliye serious tu.
 
Niikague wapi na lini halafu tuongee kiutu uzima.....mwisho wa mwezi karibu.
 
Dahhhh nnayo no D lkn hio B inenipiga bao Hongera kwa Utunzaji Mkuu
Yaelekea wewe ni ktk wale ambao Hata Mwanao kupanda Gari Shirt Aoge daah si kwa utunzaji huo
Big up Mkuu
 
Aise, ndinga kama mpya! Mi napita tu mkuu, ndo kwanza nna baiskeli but naamini wakati ukifika nitatembea nikiwa nimekaa
 
Mbona nzuri sana bei hiyo? Una uhakika haina kilema chochote kweli? All in all, all the best Mkuu.
Gari ni nzima sana mkuu, haina tatizo lolote,nimeitumia 5yrs,imetembea km 89000. Iko Kidatu Morogoro na naitumia kwa mishe zangu za hapa town na kusafiri nje ya mji mara moja moja mkuu. Mkuu ukiihitaji unakuja na fundi wako aikague kila idara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom