Towards Success: The Triangle of Political Victory

AN OPEN LETTER TO MZEE MWANAKIJIJI,
This is the best article i have ever come across since i joined JF, now i would like to ask you comrade to send me this article to my mailbox novakambota@gmail.com so that i post it in my site Nova Tzdream

Ni kweli mkuu. Hili chapisho naliweka kwenye maktaba yangu ili hata wajukuu zangu waje kusoma kama wataanzisha chama cha siasa basi iwe dira yao. Maandishi hayaozi!

Pamoja na hayo ningependa sana kuwaona strategists wetu kutoka vyama hivi viwili wakijitokeza na kutoa comments zao kuhusu hii post. Nitamuuliza MMMM kama hiyo modal ni ya kwake ama kaitohoa mahala. Kama ni ya kwake basi anastahili kupata title ya Prof.
 
Ben, one of the dangers that I see when people speak of ideologies is that they define certain ideologies exclusively in terms of Western political theories. Thus, a conservative Tanzanian will be measured against the conservatives of the UK or the US.

Mwanakijiji,
We are facing an Ideological Crisis,the root of all socio-political evils.Of course Tanzania and her political institutions are systemless,we don't have a pattern.In a country where rule is rather vague or non existent order can never reign.Now,pertnent qustn,Where does our democracy stand?American democracy stands on "taxation without representation is discrimination and deprivation" It is this that led to the American dream and declaration of independence. That stand has kept that nation till date. All the parties clearly agree with that only they take different methods or approaches to solving its problems.
We need to get a bearing. Our democracy really has no ground on which it stands. No Ideological base,Lootocracy(Looting) replace Democracy as opposed to Uk and US as our Role Models on Democracy.We have people in power or contesting power for power sake.
My people,Tunaweza kuendelea kujiuliza tena maswala uchokozi tu, why do we want democracy? Why not monarchy or something else

Mkuu Ben your analysis is quite true. Most of our politicians are power mongers, they don't believe in their party ideologies/manifesto. No wonder we are witnessing decamping, crisscrossing and the like not backed by their belief in ideology rather belief in power. We have a long way to go.
Yeah,Infact i drew this conclusion due to the way most of our politicians tend to crosscarpet to other parties as soon as what they want(which is often power at all costs) does not come their way or sometimes a disagreement with their political godfathers.

This often shows that ideals and the ideals of the party actually mean nothing to them,anything goes as long as they become Rais,Mbunge,Diwani,Mwenyekiti etc.As you said these parties are in existence but are not allowed to thrive.what i am trying to pass across is most times Wananchi do not know what principles parties they are voting stand for

Mkuu Ben kwani niliyoyasema hayatokei hapa? Nayakubali maoni yako pamoja na changamoto zinazoambatana nayo.

Kimbunga,

Yeah yanatokea,na sababu zake ziko connected na the lack of or being inconsistence with the ideas on the Triangle
 
Mwanakijiji,

This often shows that ideals and the ideals of the party actually mean nothing to them,anything goes as long as they become Rais,Mbunge,Diwani,Mwenyekiti etc.As you said these parties are in existence but are not allowed to thrive.what i am trying to pass across is most times Wananchi do not know what principles parties they are voting stand for

Mkuu issue nyingine ni hiyo hapo. Wananchi wanapiga kura kwa mazoea na siyo manifesto wala ideology! Nani anajua sera za vyama?
 
MKJJ,i totally agree with your analysis.Wengi washasema mengi kuhusu hilo.Naamini vyama vya siasa vitachukua hii lesson kama wanavijali vyma vyao.
Maoni Yangu:
Kwenye ushindani,uwe wa kibiashara ama wa kisiasa,weakness ya mwenzako yaweza kuwa strength yako and vice versa.Nikiangalia weakness ya CDM kwa kutumia hizo three pillars ulizozimention hapo juu ambazo zinaiunda hiyo triangle ya ushindi wa any political party,niimegundua kuwa tatizo hilo la structurall limechangiwa na uchanga wa chama hicho cha CDM.Hapo utakuta kuna individuals waliojitolea kukijenga chama ambapo sasa hiyo issue ya personality ina kuwa raised.Na kwahiyo nakubaliana na baadhi ya wachangiaji wanaodai kuwa matokeao ya performance ya chama cha kisiasa yanategemea sana na status ya jamii husika.

Uki apply hii theory yako,matokeo yake yatakuwa tofauti for lets say vyama vya mataifa makubwa ambavyo ni vikongwe na vipo for centuries.So utaona kuwa ukongwe wa chama unaweza kuwa ni msaada kwa chama when it comes to political victories.
Kwa upande wa magamba,hii hapo chini ndo hiyo weakness yao ambayo ukiangali kwa makini ndiyo strenght ya CDM
1. Ideological/Philosophical Base: Is that part of the political party which distinguishes it from all other political parties in terms of their mission, perceptions, goals, platforms etc. This is the central piece of any political parties. Most parties have almost the same kinds of structures or administrative outlook but it is here where the fundamental differences between parties exist. It is not just the written philosophies or ideas but rather the people who promulgate those ideas. A political party needs to have its ideological base in its membership as well as in its leadership. A party without an ideological base, it like a people without a culture.
Hata hivyo ebu nieleze ni kwa vipi chama cha mwalimu hakina ideological base?Je una maanisha hakina ama hakitekelezi?Ama je kina mix up ideologies ambazo haziendani?Kwasababu when it comes to culture,tunajuwa ccm ni mafisadi,wala rushwa na wezi wa kura.Hizo ni deep rooted culture ambazo binafsi naamini zinakitofautisha na vyma vingine.Kwasababu there is no any positive note when it comes to describing their culture.
Kuna weakness waliyonayo kwenye utekelezaji hawa ccm.Utekelezaji wa mission,perceptions,goals, you name it.Watanzania hatujajijengea utamaduni wa kusoma na kuchunguza.Ndiyo maana ccm ina wanachama lakini ukiwauliza chama kina mission ama vision gani hawajui.Na hilo linawapa viongozi chance ya kufanya wanvyotaka bila mtu kuwauliza kama wanachofanya is in accordance to their mission,vision etc.

Political parties are made by people.The way they are structured depends on the people.All of the stuff you mention above like ideologies and so forth depends on a given society.Na ndio maana kwenye issue ya CDM,personality inakuwa juu zaidi kwasababu individuals will speak against corruption etc.Against the status quo.This appeals to those who wants change.Na ndivyo chama kinavyaonza kure cruit,kujijenga na kuwa na a strong stuctural base.

Mfumo wa vyama vingi sasa umekaribisha different ideas bila kuongopa.However bado tunapiga hatua taratibu kwasababu katiba nayo inatukwamisha.Hata JK tunamlaumu tu lakini akiitumia katiba aliyotuachia mwalimu tutakoma na hata hizi makala hazitakuwepo humu na JF maybe kufungwa.Yes i said he si extremely powerfull.Some of these issue can also hinder a political victory for a political party.​
 
Kuna hotuba moja ya Baba wa Taifa ambayo anazungumzia jambo hili vizuri saana yaani uhusiano kati ya kanuni za msingi za taifa na siasa za vyama akitumia mfano wa US.
 
Kuna hotuba moja ya Baba wa Taifa ambayo anazungumzia jambo hili vizuri saana yaani uhusiano kati ya kanuni za msingi za taifa na siasa za vyama akitumia mfano wa US.

kama unayo kwenye maktaba yako tafadhali tuwekee hapa JF
 
Kuna hotuba moja ya Baba wa Taifa ambayo anazungumzia jambo hili vizuri saana yaani uhusiano kati ya kanuni za msingi za taifa na siasa za vyama akitumia mfano wa US.
There we go,it depends on a society...Na hilo la kanuni za kitaifa kwasasa hatuna

.Nchi isiyokuwa na viongozi wenye maono huwezi kupata haya.

Kanuni za misingi ya Taifa zikiwa uuzaji wa rasilimali unategemea viongozi wawe na vision ya kutujengea misingi ama vyama vya kisiasa vitakavyotukomboa kutoka kwenye umasikini,maradhi na ujinga?Kwa mfano jamii yetu bado inahitaji yale mahitaji basic ama neccessities kwa kiasi kikubwa.

So ni lazima tupate viongozi watakaoona hilo na kuandaa mipango ama kanuni zinazoendana na misingi yetu.

Nchi iko very shagala baghala! Viongozi wenye kuzunguka na kuomba omba kila siku watakumbuka misingi gani na wanajua hata kanuni? Angalia masiha ya individual ambaye ni omba omba,hivi ataweza kukwambia kuwa anataka kuendelea kuomba hadi afanikiwe ndiyo aache uomba omba?

Sijawahi kuona omba omba akawa na vision ya kujiletea maendeleo. Sana sana anaota leo atapata ngapi nk.

Tuko pabaya sana.
 
I have always wondered if the recent crop of new age politicians have ideologies or even understand ideologies that their political parties represent or stand for with the way they are always decamping and recamping as soon as they are not nominated or should i use the word selected to run on the platforms of their respective parties. I remember in the last general elections how our so called politicians were just joining every and any party as long as they were for the Bunge,Udiwani and whatever candidate,some party seceteriats were set up in some of them's homes.
Superb Ben, I have been troubled by the same thing. At certain point I tried to find out why this happen, finally realized some problems
1) The politics in our country is not a daily chore rather seasonal business(2) There is no functional administrative structure (3) The parties do not identify with ideologies

The disadvantage of the ruling party is to be on defensive position always. This could be an advantage for the opposition to evaluate post election and make necessary adjustment ready for next take off. The adjustment could be; changing admin where there was failure without genuine reason, identifying the next potential candidate(s) and revisiting the base to find their concern.

The functional and solid admin structure must be designed and work as a single unit. It seems as if the political parties(not old party) in our country have fail to come up with their own model, perhaps that's a reason for under performance.

So , 'recamping and decamping' is not a question of ideology alone but a total failure of structure. If you can't recruit the candidate(s) who believes the ideology of the party, then one is prone to pick up anyone from unknown place.
Mzee Mwanakijiji;2148140]Ben, one of the dangers that I see when people speak of ideologies is that they define certain ideologies exclusively in terms of Western political theories. Thus, a conservative Tanzanian will be measured against the conservatives of the UK or the US.
Good point ! At least CCM has one in library (Ujamaa), CUF has its own model (Haki sawa etc), Chadema has policies but I don't know its ideology in details!! It is not clear honestly. The point here is, come with your own model which will identify the party based on the interest of our nation not to duplicate or replicate liberal or conservatives kind of model from west.
 
Mkuu issue nyingine ni hiyo hapo. Wananchi wanapiga kura kwa mazoea na siyo manifesto wala ideology! Nani anajua sera za vyama?

Ni kweli,na hata sasa hivi ukianza kuuliza watawala au wanasiasa ni kwa nini tuko katika Demokrasia ilihali tuna janga la kiitikadi wataanza kukuona mkorofi,msumbufu,huna nidhamu nk,hata kama utakuwa umeuliza in a very humble way!

Kuhusu kupiga kura kwa mazoea,kama wanataka kujitetea kijanja na kijinga at the same time watawala na wanasiasa inabidi waseme watu wanahitaji shelter,Mavazi na chakula,watasema tunahitaji kupambana na umaskini,maradhi na ujinga kwanza ili tuwe advanced ndiyo ideologies ziwe na nguvu!
 
Kuna hotuba moja ya Baba wa Taifa ambayo anazungumzia jambo hili vizuri saana yaani uhusiano kati ya kanuni za msingi za taifa na siasa za vyama akitumia mfano wa US.
Nadhani ni hotuba yake ya kustaafu uenyekiti,alisema marekani ni nchi ya kibepari na ina vyama viwili vya kibepari,ni bora kama Tanzania ingekuwa na vyama viwili vya kijamaa.
 
Nadhani ni hotuba yake ya kustaafu uenyekiti,alisema marekani ni nchi ya kibepari na ina vyama viwili vya kibepari,ni bora kama Tanzania ingekuwa na vyama viwili vya kijamaa.

Hii ni ya zamani sana hasa alipozungumzia kile ambacho yeye na Kambona walikiita "demokrasia ya chama kimoja"..
 
Mzee Mwanakijiji said:
2. Administrative Base: This is that part of the party which involves its structures and its infrastructures of administration, organization and leadership. While most parties structures are somewhat similar each political party needs to develop its own structures befitting its goals, ambition etc. A political party that just copies and paste what other parties have (albeit under different names) is fundamentally inheriting the weaknesses or strengths of those other parties. So, toward victory a party need to create functionaries that would help it soar high. While all birds have wings, not all birds can fly! The differences are in the structural details of their evolutionary making.

3. Political Base: This is the other fundamental part of a political party. Without a strong political base a party will be just a party but not part of a big party! The political base includes its superstars, loyal members, supporters, ideologues, pundits etc. It includes all political leaders from the very bottom to the very top. The political base is what makes a political party win an election. A party can have a good ideology or bad, it can have a very good structural system but without a strong, die-hard political base it will remain just a party with supporters. In order to be able to assume power - say to lead a country - a party needs all of its political base to be behind its agenda.

In my unsolicited humble opinion:

On CCM: It has a strong political base as well as the administrative base but it is lacking a strong philosophical/ideological base. Since the end of Nyerere's era CCM has never been able to articulate a clear ideological stand as a political party. The so called "Market economy" or "Free market" is in fact not an ideology! Even more, the ruling party is facing a very unique situation in its political base; it lacks activism! As a matter of fact some of its cadres despise the idea of activism this brings to a clash among its leaders; the bureaucrats of old and younger youthful members . While the question of ideology is a difficult one the question of the split of its base is the greatest threat to its future. I totally believe that the weakest link within the part is the confluence of the two.
On Chadema: It has a very strong political base as well as a rising philosophical/ideological base but lacking a strong structural base (the base still depends heavily on personalities).

I am not trying to adulterate the topic in anyway. I would like to expand it to reflect the real situation on the ground based on my perspective.

CCM's policy is not clear on admin structure since Mwl left.
The so called metamorphosis is nothing but cunning. The structure remains the same for half a century. There is no clear policy as we have witnessed the chairman can alter the admin structure on prerogative given.

Ironically Chadema had different structure which helped to resolve some issues amicably.
When Mbowe was a presidential candidate the primaries were conducted to align with ‘majimbo' policy which set a tone on the kind of government admin structure and infrastructure people should expect ab initio. Leading by example, Kudos!

Somewhere sometime the admin at national level decided to abandon the plan and emulate CCM's model to some extent. The gist is does the CCM model a panacea!

The political base embodies superstars, loyal members, supporters, ideologues, pundits and strategist.
I'm not certain if Chadema strategists are up to the task! There're many opportunities which could be capitalized on, if strategists were keen enough. The vacuum in communication between the admin and the die hard political base sends a clear signal that something amiss in between.

There is no logic to ignite the political base then pull back without communication!!
I cited Arusha as an example and here comes again; Chadema informed and excited its political base to question on the radar. The strong and motivated base fulfilled its obligation to mount on a pressure on the government. Now, BAE and the government are in wrangle, unfortunate no one knows Chadema's position exactly as of today.

The die hard political base is confused in many ways.
1. Does Ndugai's team which includes Cheyo represent CDM's interest as an opposition!
2. The team was elected or created on which parliamentary clause
3. What's Chadema stance! To side with government as patriots or to fight the vice!
4. What's going on in Arusha, was it individual interest or Party interest.

It doesn't matter how best is the triangle, if glue (effective communication) which hold the triangle is missing, the crumbling is imminent as we have seen in CUF, NCCR etc.
I hope Chadema will not take this as an offense but a constructive idea.
 
Mnaongelea kuhusu political philosophies kwenye nchi ambayo 85+% hawana umeme!!

Mnaongelea political structures za vyama kwenye nchi isiyo na maji safi, poor healthcare, poor education, theft of public money,nk?

Where are your priorities? Sidhani kama ideologies, base, etc za vyama vya siasi vinaweza kutusaidia hapa tulipo! We are facing basic basic problems zinazohitaji immediate solutions.

Hivi vyama vya siasi vilianza katika nchi zilizoendelea kama Uingereza mwaka gani? Au Marekani? I wonder kama walikuwa wana hivyo vyama na hizo philosophies wakati wanajenga nchi zao!!
 
Ha ha ha ha haaaaa! Kama nilivyotabiri,nilitegemea majibu kama haya before.Hata Lukuvi,Wasira,na viongozi wengine wenye dhamana hiyo katika kambi ya Upinzani wangejibu hivyo hivyo as i Predicted before.Anything less they could be in a Mess! Now,check hapa chini na ulichosema baada ya hapo(hapo juu)

Ni kweli,na hata sasa hivi ukianza kuuliza watawala au wanasiasa ni kwa nini tuko katika Demokrasia ilihali tuna janga la kiitikadi wataanza kukuona mkorofi,msumbufu,huna nidhamu nk,hata kama utakuwa umeuliza in a very humble way!

Kuhusu kupiga kura kwa mazoea,kama wanataka kujitetea kijanja na kijinga at the same time watawala na wanasiasa inabidi waseme watu wanahitaji shelter,Mavazi na chakula,watasema tunahitaji kupambana na umaskini,maradhi na ujinga kwanza ili tuwe advanced ndiyo ideologies ziwe na nguvu!
 
Ha ha ha ha haaaaa! Kama nilivyotabiri,nilitegemea majibu kama haya before.Hata Lukuvi,Wasira,na viongozi wengine wenye dhamana hiyo katika kambi ya Upinzani wangejibu hivyo hivyo as i Predicted before.Anything less they could be in a Mess! Now,check hapa chini na ulichosema baada ya hapo(hapo juu)

With due respect...

Mimi sijapinga demokrasia, mimi naongelea umuhimu wa kuchambua sera za vyama wakati the problem is obvious. It was the same case during the search for independence. People were united behind one cause, which needs to be the case now. Lakini sidhani kama watu wanaona hilo.

Hivi kuleta reliable power ni swala la sera? Kwanza wananchi hawana elimu ya kutosha kufuatilia mijadala ya sera! Kama umefuatilia elections sehemu nyingine unajua umuhimu wa swing votes. Chama chochote chenye busara kitapeleke solution la matatizo kwa ajili ya kura. Sidhani kama linakuwa ni swala la ideologies au base kwa swing voters.

So the formula can be simple... problem + solution = vote
 
Mnaongelea kuhusu political philosophies kwenye nchi ambayo 85+% hawana umeme!!

Mnaongelea political structures za vyama kwenye nchi isiyo na maji safi, poor healthcare, poor education, theft of public money,nk?

Where are your priorities? Sidhani kama ideologies, base, etc za vyama vya siasi vinaweza kutusaidia hapa tulipo! We are facing basic basic problems zinazohitaji immediate solutions.

Hivi vyama vya siasi vilianza katika nchi zilizoendelea kama Uingereza mwaka gani? Au Marekani? I wonder kama walikuwa wana hivyo vyama na hizo philosophies wakati wanajenga nchi zao!!

Ndugu yangu 85% isiyo na umeme ni sababu ya poiltics kwa kuanzia tu.

Maji safi, poor education na poor health care zote zinakuwa determined na politics. Rejea thread yenye nyaraka ya mpango wa maendeleo wa sasa na ile iliyopita ya mwaka 1963 uone jinsi politics inavyo play role katika maisha yako.

Ideologies na philiosphy ndizo zimetufikisha hapa tulipo. Kama chama kina ideology ya wizi basi ndio utasikia meremeta, BAE n.k yaani wizi wa pesa ambazo zingetumika katika mambo unayodhani ni muhimu kama education na health.

Waulize waingereza ideology ya Liberal na conservative inahusiana vipi na maisha yao leo? Ideology ya ubabe wa republican ndiyo iliyosababisha mambo mengi hadi wewe na mimi kuibiwa pesa kwa singizio la mtikisiko wa uchumi. Mambo yanafanyika US deni unalipa wewe(1.7 Trilion)

Vyama kana Conservative Uingereza na GOP marekani au Liberal na democrat vina karne na ushee na vyama hivyo ndivyo vimejenga nchi hizo.

Huwezi kutenganisha mafanikio ya US aua UK na akina FDR,Truman, Wlliams, Sir Churchill, Thatcher, n.k Historia inaonyesha kuwa kila palipokuwa na mafanikio au matatizo ni ideology au philosphy za vyama fulani zilichangia.

Kwa ufupi ni kuwa siasa huwezi kuitenga na maisha yako ya kila siku. Siasa ni kitu kinachoingilia hadi mahusiano yako na familia hata kama hutaki.

Jiulize kwanini ufanye kazi Pugu road mshahara wako upangwe Dodoma? kwanini ulipe kodi ili upate elimu na afya bora lakini kodi hiyo imlipe mtu aliyesinzia bungeni hali mtoto wako hana kitabu wala dawati!!! Kwanini Dowans isainiwe na mwanasiasa na sio engineer, kwanini Richmond ijadiliwe bungeni na sio kwenye bodi ya engineer.

Please please please, kha!!
 
Duh..!!! kama mtu haoni uhusiano kati ya sera na mipango ya maendeleo au utendaji wa chama na usimamizi wa serikali n.k ni vigumu kuweza kuelewa tatizo la shule za kata linahusiana vipi na chama tawala.
 
Hakika manake wanasiasa ndio wanaongoza nchi hivyo siasa na maendeleo ni mapacha. Siasa legelege huzaa maendeleo legelege
 
Mhh...labda sikuwa clear...ngoja nikueleweshe:

Kwanza sijasema siasi haina role yeyote katika maisha ya mtu.

Pili, sijasema kuwa sera za vyama havileti maendeleo kabisa.

Mimi naongelea fundamentals za maendeleo. Sijaongelea malumbano ya vitu simple ambavyo havina impact kubwa katika maisha ya watu. Ngoja nikuwekee mfano wa hizo 'major' differences za philosophies kati ya republicans na democrats wa US uone kama kuna tofauti kubwa katika fundamental ya maendeleo. And by that (fundamental za maendeleo), i mean chama kimoja kushika power sio mwisho wa maisha bora ya wamarekani. Kwa republicans kushinda kesho kutwa haina maana kuwa marekani itarudi nyuma kimaendeleo.

Republicans:
Believe taxes shouldn't be increased for anyone (including the wealthy) and that wages should reflect free [FONT=verdana, tahoma, arial, sans-serif]market[/FONT]Democrats:
Favor minimum wages and progressive taxation i.e. higher tax rates for higher income brackets.

Nchi zilizoendelea zinaweza ku-afford kuwa na hizo minor differences in ideologies. Kwa mfano, taxation policy, health policy, nk!
Umeelewa hiyo point kwanza?

Sasa wewe niambie kuna policies ngapi tofauti ambazo tunaweza kujadili na kulumbana ambazo zinaweza kutuletea umeme nchi nzima? Tatizo la Tanzania sio policies, ni utendaji. Thats my point! Hatuwezi kutofautiana katika policies pale ambapo hata hatua moja ya maendeleo hatujapiga. Huwezi kufananisha mahali Marekani ilipo sasa ivi na sisi tulipo. Hapo utakuwa unajidanganya.

Kwa hali ya Tanzania leo, tupo over 500yrs behind the West. Tatizo wewe utaangalia barabara na majengo, alafu udhani solution ni kujenga tu hayo. Maendeleo hayaji kwa style hiyo. Hivi unadhani China imeendelea leo kutokana na sera zake mpya za the past 3 decades tu? Kasome Great Wall ilijengwa lini ndio utajua China sio watu wa juzi? Hapo ndipo utajua fibric za society ambazo zinaleta maendeleo sio kitu kinaletwa kwa kujenga majengo na barabara. It has to start with the thinking na hiyo 'fabric ya society'.
Sasa nyie mna-compare level ya siasi ya marekani ya leo na ya Tz?

Okay, unataka kuongelea policies, sawa...tuongelee hilo. Tax policy iwaje? Education policy iweje?

By the way, unapoweka argument, sio unaniambia mimi nikatafute information za ku-prove argument yako. weka evidence mwenyewe tusome wote. This discussion is not just for my benefit, but for others too. Kwa hiyo naomba uweke hiyo mifano inayoonyesha specifically sera ya chama fulani ilisaidia nchi kuendelea badala ya sera ya chama kingine. Nasubiri hiyo evidence kwa hamu kweli!

I guess industrial revolution ilichangiwa na political ideologies...hehhehe!!
 
Duh..!!! kama mtu haoni uhusiano kati ya sera na mipango ya maendeleo au utendaji wa chama na usimamizi wa serikali n.k ni vigumu kuweza kuelewa tatizo la shule za kata linahusiana vipi na chama tawala.

Mbona umetaja vitu vingi mno which have made your point unanswerable. Au ndio jibu la mwanasiasa?
Ungeweza kuweka mfano wa hizo links ingeweza kusaidia discussion.
Shule za kata zime-fail kwa sababu ni sera mbovu au ni usimamiaji mbovu au ni nini?
Alafu inaelekea una mix serikali na chama interchangeably kiasi ambacho unashindwa kuchora mstari nani anasimamia kipi! Sijui kama unaelewa tofauti ya hivyo viwili.
Once sera ikipendekezwa na chama, kikashinda uchaguzi, ikawa implemented, ni kazi ya nani kuisimamia? chama au serikali?
 
Back
Top Bottom