Towards Reality: Zitto Kabwe,PrecisionAir, AirTanzania and Boeing Saga!!

Hoja isiwe Zitto,
tuangalie facts....kwanza nikweli awali ndege tulokuwa tuchukue ni L19 na si L719 kama ilivyobadirika ghafla kwa sasa?
Na je, taratibu za manunuzi zimefuatwa?
Hapo sioni kosa la mbunge kuhoji serikali na ndo wajibu wake kama mbunge.
Serikali itoe ufafanuzi watanzania waelewe na kama itabaki kimya maana yake watanzania kila mmoja wetu aelewe kivyake...
 
Mm nadhani hoja ingekuwa kujadili hoja aliyo iibua zitto sio kumjadili zitto mwenyewe
Zote zinajadiliwa mkuu. Ndiyo maana Mayalla anataka tujadili hata shemeji ya rais. Baada ya kujadili kama sharia za ununuzi zilizingatiwa bila kuingiza habari za nani ni ndugu ya nani. Ukiwa mwanasiasa lazima tujue kama kweli unavalia njuga kwa mapenzi ya wananchi unaowawakilisha ama njaa yako pia ukipigia debe tunataka kujua kama unapigia debe kwasababu ya maslahi ya taifa ama ya rafiki yako.
 
  • Thanks
Reactions: GUI
...
Serikali itoe ufafanuzi watanzania waelewe na kama itabaki kimya maana yake watanzania kila mmoja wetu aelewe kivyake...
Mbona Waziri Mbarawa ametoa ufafanuzi lakini wabishi hawakomi?
 
Back
Top Bottom