The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,394
- 12,978
Kuna watu tayari wameshachanganywa humu mpaka wanafikiri TT ni mbovu!!
Zote zinajadiliwa mkuu. Ndiyo maana Mayalla anataka tujadili hata shemeji ya rais. Baada ya kujadili kama sharia za ununuzi zilizingatiwa bila kuingiza habari za nani ni ndugu ya nani. Ukiwa mwanasiasa lazima tujue kama kweli unavalia njuga kwa mapenzi ya wananchi unaowawakilisha ama njaa yako pia ukipigia debe tunataka kujua kama unapigia debe kwasababu ya maslahi ya taifa ama ya rafiki yako.Mm nadhani hoja ingekuwa kujadili hoja aliyo iibua zitto sio kumjadili zitto mwenyewe
Mbona Waziri Mbarawa ametoa ufafanuzi lakini wabishi hawakomi?...
Serikali itoe ufafanuzi watanzania waelewe na kama itabaki kimya maana yake watanzania kila mmoja wetu aelewe kivyake...