Tovuti ya HESLB ndivyo ilivyo au ni kwangu tu?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Wadau habari zenu na heri ya Idd.
Nimeingia tovuti ya heslb kwa kusudi la kujiandikisha kuomba mkopo.Nimestushwa na yafuatayo:

1.Sura yote ya tovuti haionekani.Kuna kisehemu kama robo tovuti kimefunikwa kiasi kwamba sehemu za kujaza index number,account number ya benki na email address hazionekani vizuri.

Je wadau ndivyo ilivyo kwa wote au ni kwangu tu? Sikuweza kujaza, nimeacha.
 
Acc no ya benki??? Mim mbona nimemjazia mdogo Wangu hakuna hyo option. Mim tatzo nililoliona ni kuwa ukishajaza yote na ukaprint hakutakuwa tena na option ya kurudia. Alafu na sehem ya kuedt electric pitcher ya grantee hakuna
 
Acc no ya benki??? Mim mbona nimemjazia mdogo Wangu hakuna hyo option. Mim tatzo nililoliona ni kuwa ukishajaza yote na ukaprint hakutakuwa tena na option ya kurudia. Alafu na sehem ya kuedt electric pitcher ya grantee hakuna
Zipo field kadhaa za kujaza.Uki-hover mouse kwenye hizo field yanatokea maandishi ya kinachotakiwa kujazwa kwenye hiyo field.Moja niliyokutana nayo ni hiyo ya no. ya akaunti.
 
Mkuu

Mkuu naulizia kusu picha ni ukubwa gani unatakiwa? afu iyo benki akaunti inaekwa api? mbona me sjaona mkuu naomba nelekeze.
Hakuna cha benki account mjomba. Kama nilivyosema, browser niliyotumia ilinipoteza.
 
Ukubwa Wa Picha ni Width x Height = 120 x 150 (pixel).

Benki Akaunti??????????
asante bro picha ineshakubali ..afu bank akaunti ni jamaa apo juu aliongea ila naona kesharekebisha ...hakuna kipengele cha bank akaunti mkuu.
 
Back
Top Bottom