Toto la ki black American lilivyonichecheta!

Combination ya red wine na coca baridi lazima kieleweka hapoo 🤣🤣🤣

Sasa mboba hijatuambia mpambano ukiishaje? Siamini ulikubali bila bila hapo mkuu.

Hao watu mimi nilikuwa nawa import wanakuja Sinza Mori kushangaa Dar. Wakiina vile vyoo vya Sinza vya kuchutama wanashangaa sana.

Umenikumbusha mbali sana.
 
Haha! Sasa unafikiri nilimuacha si nimeishia hapo kwenye kunyanyua sasa jiongeze nilimpeleka wapi hapo ndo naweka dot kama hivi....
Kifupi kililiwa mzee baba....😜

Hao uliokuwa unawaleta ndo ulikuwa unawafinyanga au wewe hukuwa ukifanya hivyo..??
 
Hahahaa. Nas anasema "There's some ghetto secrets, I can't rhyme in this song".

You already know.

Ila nikifikiria naona tumefanya mambo, unamleta mtoto wa Kinyamwezi anakuja kushangaa Sinza Mori enzi za Mkapa 🤣🤣

Sasa wale weusi ilikuwa ukizunguka nao mitaani Dar inakuwa tabu sana kwa sababu Waswahili mara nyingine wanakuwa hawawajui kwamba hawa Wamarekani. Wanaanza kuwaongelesha Kiswahili.

Kuna siku tuko Kinondoni Morocco kwenye foleni ya magari, basi si Mmachinga mmoja akamfakamia dada wa watu anataka kumuuzia vitu gani sijui anamwambia "Shangazi hii hapa bei poa tu. Bei ya jioni sema tuongee". Mmarekani wa watu anacheka anasema "But I don't speak Swahili". Mmachinga ujanja ukamuisha hapohapo.

Kuna mmoja Mganda alikuwa anafunga safari kutoka Kampala mpaka Sinza Mori. Mambo ya Kampala yakikolea Africa Bambataa si unayajua? Basi ndiyo hayo.

Basi siku moja kaja maskani, he, eti bibi yangu (mama yake mama)naye si kaamua kuja kunitembelea.

Ilibidi nimfiche yule bidada chumbani maana hajui Kiswahili halafu bibi angestukia mchezo.

Nikapiga story na bibi, mpaka bibi akaondoka nikamfichua.
 
Haha! Ndugu inaonyesha umepitia mengi na katika hayo ninayo mengi yakujifunza...

Black American wengi wabongo huwafakamia nakuzani ni wamatumbi!.. kuna msala ulishawahi kutokea zenji walinzi wa masheha walimpiga jamaa black American usiku akiongea ngeli wenyewe wanakung'uta tu wanajua anajifanya!, ile kesi ilifika mpaka ubalozini ilikuwa kesi kesi!.
 
Haha! Huyu baby wako huwa yanaibuka kama boya ndani ya maji ndio maana anasemaga hayanaga muongozo...
Yanaibuka kama boya manini?????

Hayanaga miongozo kwamba 1 ni 1 tu 2,3 4 .... zikieleweka unatakiwa kufumua as usual.
 
Back
Top Bottom