Msimamo wa ligi sisi hatujui, lakini sasa tumebadili utaratibu wa ligi ndogo ndani ya ligi kuu inachezwa na timu mbili, kwa hiyo sisi na Azam, nyie tafuteni mwenzenu; hata hivyo mmesota, pts 11 mechi 7, wakati sisi tulishapita huko tuna mechi nne tu. Kuna kila sababu ya kufuta utani wa jadi na nyie.Msimamo wa ligi baada ya mechi hii ukoje labda tuanzie hapo ili uone mnavyojichanganya, hii yote mnawaza kichapo mtakachopata mkiingia kirumba.
Watizame table tu juu ndio watajuwa nani wa kwanza. Safarihii mpaka Bank Kuu naogopa itakauka ila bado hawatofika juu.
mpira umeisha hongereni wadau wa yanga toto kafunga goli moja yanga wana point 11 sasa na wamepaa hadi nafasi ya tatu wameishuha timu ya kagera
Mkitoka mikoani hususan mkipita kirumba haya maneno hutathubutu kurudia kuyasema.
Msimamo wa ligi sisi hatujui, lakini sasa tumebadili utaratibu wale ligi ndogo ndani ya ligi kuu inachezwa na timu mbili, kwa sisi na Azam, nyie tafuteni mwenzenu; hata hivyo mmesota, pts 11 mechi 7, wakati sisi tulishapita huko tuna mechi nne tu. Kuna kila sababu ya kufuta utani wa jadi na nyie.
Msimamo wa ligi baada ya mechi hii ukoje labda tuanzie hapo ili uone mnavyojichanganya, hii yote mnawaza kichapo mtakachopata mkiingia kirumba.
Punguza kelele mtani, pesa zetu zinatoka quality plaza, quality centre, quality motors na quality garage.
Hayo ya benki kuu ni ya kwenu huko msimbazi.
nipe ratiba ya simba mzunguko wa kwanza msimu uliopita..nikukumbushe tu uwanja wa dar ni mgumu kuliko hata viwanja vya nje angalia mwaka juzi dakika za mwisho tulitoa sare na kagera, ruvu tukakosa kombe kwa tofati ya magoli jaribu kufatilia misimu mitano iliyopita utakubaliana mimi..tafuteni sababu nyingine
Mko wa tatu kwa hiyo uko proud of this?
Mko wa tatu kwa hiyo uko proud of this?
stats
matches 7
points 11
still having the dreams of winning trophy..
ila hii ni bongo ilo linawezekana...
stats
matches 7
points 11
still having the dreams of winning trophy..
ila hii ni bongo ilo linawezekana...
Masuke yanga siyo wapinzani wetu angalau azam FC huwa inaleta ushindani lakini ya yanga mpaka ifanye mipango okwi na mafta wasi wepo ndipo wapate sare hiyo nimu pinzani sasa?
Total matches played: 174
Yanga wins: 79
Simba wins: 73
Drawn: 22
Yanga inaidai Simba mechi 6 (i.e Simba inahitaji mechi 6 kuifikia record hii!!)
Country championship trophies:
Yanga: 23
Simba: 18
Yanga inaidai Simba trophies 5 (Simba inahitaji miaka 5 kuifikia record hii!)
Cecafa championship trophies:
Yanga: 5
Simba: 6
Yanga inadaiwa na Simba trophy 1 (i.e Yanga inahitaji mwaka mmoja TU kuifikia record hii ambayo ni mwaka kesho!)